Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Ndo kasema sasa leo! Tena Dodoma kabisa!
 
Mwakasege nilikua namuelewa miaka ile ya 98 mpaka 2014 /15 nikaona simuelewi tena, sijui ndio wingi wa dhambi zangu au akili ya mantiki imenikaa.

Lakini bado anabaki kuwa mwalimu bora wa injili ya wokovu
Mkuu lile tatizo lako la kufuatwa na nzi liliishaga?
 
Mungu ni mwema siku zote.

Ninamtumainia yeye all the way
 
umemsikilizaa ukaaelewa au wewe ukadak tu kipande cha kusema alienda mbinguni, nina hofu mno na uelewa wako mwandishi na nia yako
 
umemsikilizaa ukaaelewa au wewe ukadak tu kipande cha kusema alienda mbinguni, nina hofu mno na uelewa wako mwandishi na nia yako
Wala hata usiwe na hofu, woga, wasiwasi na mashaka ya aina yeyote kuhusu Mimi.

I Am only a human being like you..., Jitahidi sana kumcha Mungu kwa kuwa na hofu yake, Kumuogopa, kuwa na wasiwasi na kwà kuwa na mashaka nae, hasa pale unapojiona umetenda yasiyo mapenzi yake. #GodIsWatching

Hayupo Mwanadamu atakayekupeleka Mbinguni. Mtumaini Bwana Ndugu yangu!!!
 
Freedom of expression.hata mm naweza Sema nilienda mbinguni nikakuta shetni anaimba mapambio na watakatifu wengne huku akiwashangaa wanadam wakitenda maovu afu wanamsingizia.so don't bother your mind with those people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…