Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Mkeo si huwa anakaa kushoto kwako? Nipe connection niongee nae Mkuu kama hutokua na wivu wa kibrazil! [emoji23]
Aah! Mi sina tatizo kizuri wanasema unakula na mwenzio..je, na wewe utakua tayari muda ukifika? Au nd'o yale ya changu chako chako chako?
 
Mwakasege nae kashaanza upumbavu. Atapoteza heshima yake yote aliyojijengea kwa miaka mingi.
Kuna dogo mmoja hivi , muimbaji wake wa kiume , simuoni kabisa siku hizi yule jamaa,...sijui ndo keshatoka tunduni? Maana siku hizi yupo huyu bonge wa kiume ..anaimba kwà mic PEKE yake wakati yule alikua anaimba huku akipiga kinanda! Simuoni siku hizi kabisa aisee!!

Nilikua namkubali sana yule dogo! Very talented man daah!!!
 
Hata mi nashangaa,suala la mtumishi wa Mungu kupewa maono ya mbinguni au kuchukuliwa kiroho mbinguni wala sio ishu ya ajabu,hata Stefano wakati anapigwa mawe kabla ya kufa aliona Mbingu inafunguka kwa ajili yake,sula lililopo ni kujua nani anasema kweli basi
 
Let's assume ni kweli wanakwenda Mbinguni, ndio waje na story za aina hiyo?

Zumaridi aliishia kusema Mbinguni kuna tugorofa turefuuu

Huyu nae anasema alikutana na Musa + Yesu... ( Kwà nijuavyo mtu yeyote akipata nafasi au bahati ya kuzuru mbinguni lazima arudi ama na meseji au report )

Wanasema mbinguni ni kama uuonavyo mfumo wa simu upande wa SMS/ TEXT

( Kuna message sent na delivery report )

Meaning ukienda mbinguni....lazima uje na kimoja wapo...kutushuhudia ulichokiona kwenye kiganja cha Mungu.



Isaiah 53:1 ,Who has believed our message/ report and to whom has the arm of the LORD been revealed?




 
Mimi ambacho sioni ajabu ni suala la mtumishi kuchukuliwa kiroho kwenda mbinguni,kama kuna suala la ujumbe kama unavyosema mimi sijui maana yeye alienda miaka mingi iliyopita kama alikuja na ujumbe au la sijui,maana sijawahi kwenda.

Kuna mtu hapo juu katoa mfano wa Paulo,na Ufunuo wa Yohana,kwahio suala ni mtu kuamini au kuacha basi,Kuna watu wanaamini kuna Mungu wengine wanasema hakuna Mungu ni maamuzi tu.

Ila najua kwako ni vigumu kukubali maana kuna Uzi uliopita pia ulileta humu ukimzungumzia Mwakasege negatively ukimlinganisha na Mwamposa unayemwamini wewe,Kwahio huwa unamfuatilia Mwakasege sio kujifunza ila kutafuta wapi umkosoe,Ndio maana hata hii habari umeanza na eti...?

Hata Nyoka alipotaka kumdanganya Eve pale eden alianza na hayo hayo maneno eti?...akaendelea

Kwa mtu aliyetaka maoni huru ungeleta habari kama ilivyo uache mjadala ufanyike ila umeleta kwa mrengo Fulani hivi.
 
MATHAYO 24:4-5-11-23-24
4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki.
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
 
Ni kweli , niliwahi kumcompare Huyo Mwalimu na Mwamposa ....lengo langu lilikua ni kuonyesha matumizi ya Neno la Mungu.

Nijuavyo Mimi, mtu aliyeitwa na kuchaguliwa na Mungu , lazima apewe nguvu na mamlaka ya kulitumia Neno lake....kuombea watu halafu kusitokee miracles , signs and wonders lazima kulete questions sana.

So I was just trying to relate....how is it possible kufundisha Neno la Mungu halafu vitu havitokei. Hata kama Mwamposa ni freemason kama wanavyomuita...lakini at least hufanya vitu vinavyoonekana na SHUHUDA zipo nyingi sana.

Lakini pia, kuna siku nilimfuatilia Mwakasege , akatoa kijembe cha keki za birthday,...kiufupi was like kumkandia mwenzake kisirisiri. I mean kutafuta njia ya kuwalisha kondoo wake doctrine ya keki ili wamchukie Mwamposa. I didn't like it at all.

Note: Now nipo alert sana,...ninapomsikiliza mtumishi yeyote kwasasa nakua chonjo sana....uongo umekua mwingi sana kadri siku zinavyozidi kwenda.
 
Propaganda za warumi katika kuhujumu dini ya waisraeli,. wayahudi wenyewe walimtimua huyu jamaa. Hakupokelewa yeye pamoja na matapeli wenzake aliowatengeneza.

Ndo mana wote walikufa vifo vibaya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…