Mwl. Mwakasege: Nilienda Mbinguni nikaongea na Yesu na Musa

Sikia huyu mwamba akiusifia uislam
Your browser is not able to display this video.
 

Nashukuru
 
Jamaa alivuoiweka ni kama alikuwa na kusudi la upotoshaji.
Watumishi, wengi hupata dhihiriko la Mungu. Mungu hujifunua kwao kwa namna mbalimbali. Hapa naongelea watumishi siyo matapeli. Zamaaani sana nilisikia tukio kama hili kwa Askofu Kulola. Naamini ukimtumikia Mungu kwa uamimifu wa kiwango fulani kuna wakati Mungu anakupa motisha ya either kuyajua mambo yake fulani. Yanaweza kuwa kuhusu uzuri wa mbinguni, jehanum na kuzimu au kutambuaatukio muhimu yajayo ili kanisa lijiandae.

So hakuna cha ajabu zaidi ya mtoa mada kuwa na agenda ovu kwa mtumishi
 
Unakubali kauli ya mtu kutokana na matendo yake.Kwa vitendo vya Zumaridi wewe unaona ni KWELI???
Kuhusu swala la kwenda mbinguni Mwakasege na Zumaridi wote ni waongo ..... Labda tuwajaji kwa matendo yao katika jamii mmoja anaweza mzidi mwingine
 
Sina agenda ovu Ndugu. Napenda watu wamjue Mungu , na pia waijue nguvu iliyomo kwenye Neno lake Takatifu.

Hivi sasa katika Taifa letu, kumekua na ukatili mkubwa sana + mmomonyoko wa maadili. Hii yote ni kwasababu watu wengi wamekosa kumjua Mungu wa kweli + kuiishi nguvu ya Neno lake.

Hawa watu wanaojiita wafundishaji, wahubiri au watoa huduma wa Neno la Mungu kama tukiendelea kuwachekea pasipo kuwa challange , ni wazi Taifa letu litaendelea kuwa la hovyo sana.
 
nahisi wa2mishi wengi siku izi wanakula msuba!!
 
nahisi wa2mishi wengi siku izi wanakula msuba!!
Watumishi wengi sasa wameishajua kua watu wengi wanatamani kufika Mbinguni,....so wanatumia hiyo swaga ya kusema huwawanaenda mbinguni kukutana na malaika, Mitume na Manabii ,ili kuwahadaa na kuwavuta zaidi kwenye makanisa yao.
 

Kama si ajenda basi uelewa wako ni mfinyu kwenye neno la Mungu. Mtu akiendelea kubishana nawe ni sawa na kubishana na kipofu aiyeona njia
 
Kama si ajenda basi uelewa wako ni mfinyu kwenye neno la Mungu. Mtu akiendelea kubishana nawe ni sawa na kubishana na kipofu aiyeona njia
Nilichofanya ni kutoa taarifa tu. Sibishani na mtu hapa na wala sina haja ya kubishana na mtu. Hakuna mtu anayeweza kunihadaa kwà kile ninachokiamini...maana hakijatokana na kuaminishwa na wanadamu bali kimetokana na kuaminishwa na Roho Mtakatifu katika Jina la Yesu Kristo ( YESHUAH HA-MASHIACH) aliyehai.
 
What are you trying to say?

Iko hivi...Yesu hafuatagi Masikini wa Mwili, anafuataga Masikini wa Roho,...Masikini wa Mwili huwa ni watu wa hovyo sana. Wengi wao ni wasaliti,...hata ukiwasaidia watakusema vibaya au kukuvurugia mambo yako. KATAA UMASIKINI WA MWILI (FIKRA)


Note: Masikini wa Mwili ndio waliopendekeza Yesu Kristo auliwe msalabani.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…