Vp wewe ungependa kwenda kuzimu Kisha jehannum?ila kwanyie manabii wasaka sadaka kwenda mbinguni niukweli mtupu?
Hivi Kwa akili yako unaamini kwamba nabii Mussa na huyo anayejiita nabii uchwala wanajuwana?Endelea kukaa gizani ukimtumainia mganga na visomo vya majini ,mwisho wa hayo ni kuzimu.
Vp wewe ungependa kwenda kuzimu Kisha jehannum?
Imani yetu bila mbingu haikamiliki.
kuna peponi na motoni tu.elewa wewe chiziVp wewe ungependa kwenda kuzimu Kisha jehannum?
Imani yetu bila mbingu haikamiliki.
Mahali pema peponi Yesu aliingia hapo,kuna peponi na motoni tu.elewa wewe chizi
I think nilishachangia huko nyuma ni ya zamani!Salama kabisa, mtumishi nataka kuona maoni Yako tu hii mada
unaropoka kama chizi flani hiviMahali pema peponi Yesu aliingia hapo,
Baada ya kufufuka Kwa Yesu aliondoka na WATAKATIFU wote na kwenda nao Mbinguni,
Baada ya kufufuka Yesu hata sasa, hakuna tena kusubiri Mahali pema peponi.
Uwe unaelewa.
Nimekuelewa vzr sanq, MtumishiI think nilishachangia huko nyuma ni ya zamani!
Halafu ku-deal na watu wasioelewa mambo ya kiroho ni kazi sn
Bible ipo wazi hakuna jipya alilolisema mwalimu hapo japo kachukua kipande angeweka SoMo zima watu waelewe
Pili,sitaki unajisi mkuu
Mungu anamtafuta mtu mmoja tu katika Uzi huu,Sijui kama humu watakuelewa! Wataona una matatizo ya Afya ya akili.
Kwa hiyo hapa unajibu sayansi au unajibu theology mbona hueleweki.Tumia akili roho ni spirit kwa kiswahili ni ROHO kwa kidini ni SPIRIT kwa kisayansi ni ENERGY....usichanganye mambo NASFI ni ufahamu wa kujitambua ndiyo nafsi ....mara nyingi watu wanachanganya roho na nafsi ...bitu vyote ni roho hata mungu ni roho na ufalme wake wote ni roho ...ufalme wa mungu ni ni vitu vyote ni uwezo wote ni nguvu xote ni uzima wote nk...hiyo neno SPIRIT NDIYO KILA KITU HAKUNA KISICHUKUWA SPIRIT YAANI ENERGY
Sasa Mbinguni ndipo tulipotokea kabla ya kuvaa miili hii ya nyama na Kuzaliwa,
Kuongelea habari za Mbinguni ambako ndio nyumbani kwetu,
Si kutafuta headlines,
Ni kukumbushana kuwa duniani ni pa kupita tu.
Still more this is a free forum for whoever wants to participate na hizo "siri za Mungu" ndiyo ujinga gani? Mungu anaogopa kitu gani kuweka mambo yake bayana mpaka yawe siri, huu ubishani wa kipuuzi usingekuwepo japo hata achomoze kichwa kutoka kwenye mawingu atusemeshe kuondoa utata ili shetani awe ameishindwa jumla? Kwani akijificha na wengi kwa kutokumuamini wakaenda jahanam(motoni🥺🥺) anapata faida gani?Siri za Mungu kupitia neno lake hazifunuliwi kupitia common sense!
Katika watumishi wa Mungu ambayo nawaelewa kuliko kitu kingine ni Mwakasege... Mungu ampe maisha marefu sana mwambie😊Salaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?
Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.
..... Mwisho wa kunukuu....
Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,
Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.
Ndipo tujue yafuatayo.
1. Mbingu ni halisi Si hadithi.
2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.
3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu awabariki.
Basi farasi inabidi waheshimiwe kwa kuwa ndiyo usafiri wa mbinguni(peponi), tatizo sisi binadamu tunawachukulia poa.Ni kweli Mungu yupo japo wapumbavu watakaa mimi binafsi nilimuona Mungu akiwa na hasira na akiwa mpole .
1: Siku akiwa kawaka hasira nilikua na lazimisha jambo ambalo halikua langu na alikuja hadi malaika ( sina uhakika kama yule alikua malaika au ni Yesu pekee) na sura haikuonekana ila mwili ulionekana na hakua na rangi tulizo nazo sisi binadamu ila akiwa juu ya farasi mweupe akikinga ukinzani wa hasira iliyokuwa iniwakie mithili ya hadi mimi mwenyewe kuanguka chini ni kiwa na hofu kuu
2: Na siku alokua mpole alikua ananipa majibu ya jambo nililokua nikilazimisha baada ya kuanza kukata tamaa kabisa kiasi cha kutaka kudhihaki. Alinitoa magamba kwenye macho yangu na kunivua ngozi ilokua imenivika nikawa mpya .. kuna vitu sikuviona kwa macho ila nilisikia vikivuliwa kutoa utosi wa kichwa mpaka vikawa vinashuka ardhini na kupotelea huko.
Nb. MUNGU YUPO NA WAAMBIENI PIA NAWAAMBIAGA WATU NINAVYO ONA SASA HIVI SIVYO NILIVYOKUA NA ONA AWALI HAWANIELEWI ILA NDIYO HIVYO
mpumba + vu =?. Jawabu ndo weweMungu anaonekana kwa macho yote mkuu, ukitaka kumuona kwa macho ya nyama anakuja na ukitaka kumuona kwa macho ya rohoni anakuja ila kuna namna ya kumuita na umtake asinyamaze, pia ukitaka kuongea nae kirafiki mnaongea kabisa ila kama unajua haupo sawa sawa kuna mawili upigwe au unusurike hakikisha una kinga hata akiwa na hasira Yesu akusaidie kuzuia hiyo hasira tofauti na hapo asee usijaribu
Hata huyo wa anga sijawahi kumuonaYuko mfalme mwingine kibiblia anaitwa mfalme wa anga.Ukimwona huyu huwezi kumwona Yesu.Jitahidi uache ganja na kuanza kumtafuta Yesu ni rahisi tu
sio mtazamo ndio uhalisia jamaa ana tatizo la akiliSijui kama humu watakuelewa! Wataona una matatizo ya Afya ya akili.
🙂🙂🙂Yesu aliwaambia wanafunzi wake kuhusu siku ya kiama alisema 👉hata mwana hajui ila baba ....wanafunzi wake wakadhani kasemq yeye ajui siku ya kiama wakaacha kumsumbia kwa kumuuliza uliza kumbe maana ya yale maneno ya Yesu kuwa mwana hajui alimaanisha mwili haujii ila baba ( yaani nafsi inajua) kasome upya injili yote kwa kutumia fafanuzi nilizo kupa utajua ukweli wa haya ninayo kuambia na utajua kuwa injili imenyoka....vizuri sana sema watu mmeshindwa kujua yesu na mungu na roho mtakatifu ni nini?