Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Hiyo common sense haitumiki kuzijua Siri za Mbinguni.

Kwa hiyo huwezi elewa chochote, Ujinga wako utabakia.

Unahitaji funguo iitwayo Imani kuzijua Siri za Mbinguni na uongozwe na Roho mtakatifu.
 
Huwa najiuliza sisi wengine huwa tunasali vipi mbona hatupati maono. Kuna mwingine utamsikia akisema jana M-ngu alinena na mimi.

Hata gozbert juzi alisema M-ngu alinena naye mpaka wakabishana.
Unawezaje kutofautisha fikra zako za kawaida na sauti ya M-ngu kichwani?
 
Mnaonyeshwa gamboshi nyie....nako waendaji wanasema pako kama ulivyoelezea hapo mbinguni palivyo
 
Nyie wengine subirini tu mkawe mabikira 72 upande wapili
 
Mkuu Rabbon , Mbinguni ulivyopaona , ni kweli panafanana kama hii picha ilivyo ?
 

Attachments

  • Screenshot_20250113-221833~2 (5).png
    1.2 MB · Views: 1
Maran-atha.
 
Wanopinga hawajasima maandiko vizuri, hata mtume Paulo alichachuliwaga mbinguni kabla hajafa, kwa hiyo Mtumishi wa Mungu kuchukuliwa kiroho hadi mbinguni sio jambo geni.
 
Bangi mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…