Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

Huyo alie leta uzi huu ni mtume¿
 
Huyo alie leta uzi huu ni mtume¿
Mtume wenu alishajifia miaka mingi iliyopita. Hatuongelei yeye kuleta huu Uzi.

Nachosema ni kwamba kurani imeandika kuhusu mtume kupaa kwenda Al Aqsa na Sahihi Bukhari kaelezea kwa mapana zaidi kuhusu hilo, pamoja na suala la mtume kudaiwa kwenda mbingu ya kwanza mpaka ya saba, akaongea na manabii kwenye kila mbingu na mwishowe akaongea na Allah..
Hii Ina tofauti gani na Mwakasege au Zumaridi wanaodai kwenda mbinguni?
Je, unabisha kwamba hizo hadithi za mtume kupaa si halisi?
 
Zumaridi alisema alifika mbinguni aliona maghorofa mareefuuu sana yanang'aaa sana. Haya sisi yetu macho tukifika huko tutajua nani mzoefu.
Zuma riidi ni Pepo katika form ya mwanadamu,

Fuatilia hata Kuzaliwa kwake, kulikuwa tofauti mamaye ameeleza vyema,

Kuhusu majengo marefu hata kuzimu kavu, yapo.

Lakini pia Mbingu ni halisi IPO.
 
Mitume wetu 25 wote wametajwa kwenye Qur an

Hao kina zumaridi wametajwa kwenye kitabu gani kama ni mitume,

Si jabisha hadith naona huwelewi.

Huwezi kumchanga Mtume wetu na hao mitume wa michongo ambao hawafahamiki katika kitabu chochote cha mungu.
 
ulipewa taarifa anakuja lini
 
Wanachofanya wakina Zumaridi leo, alikifanya mtume wenu miaka kibao iliyopita.
So, kama unaona wakina Zumaridi ambao tunawaona ni waongo, kwanini uamini kwamba mtume ambaye ni mwarabu unayemsikia tu alikuwa mkweli?
 
ulipewa taarifa anakuja lini
Soon Yesu anarudi kulinyakua Kanisa,

Aliponiangalia na kutabasamu, nilitaka nimfuate, lakini ndani yangu nilijiona nimechelewa.

Fua mavazi Yako katika Damu ya mwana- kondoo Yesu Kristo.

Baada ya Unyakuo, utaanza msimu mpya wa mateso na dhiki kuu.

Ni hatari ukiachwa.
 
Sasa Mbinguni ndipo tulipotokea kabla ya kuvaa miili hii ya nyama na Kuzaliwa,

Kuongelea habari za Mbinguni ambako ndio nyumbani kwetu,

Si kutafuta headlines,

Ni kukumbushana kuwa duniani ni pa kupita tu.
Nipe sehemu panapoonyesha umetoka mbinguni
 
Wanachofanya wakina Zumaridi leo, alikifanya mtume wenu miaka kibao iliyopita.
So, kama unaona wakina Zumaridi ambao tunawaona ni waongo, kwanini uamini kwamba mtume ambaye ni mwarabu unayemsikia tu alikuwa mkweli?
Zumaridi ni mtume wenu baada ya yesu
 
Nimecheka sana 🤣🤣🤣
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…