Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
Rudia reply yakofarasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia reply yakofarasi
Huyo alie leta uzi huu ni mtume¿Mtume wenu alidai alienda mbingu ya kwanza mpaka mbingu ya saba kukutana na manabii mbalimbali. Kwa hiyo kama ni upuuzi, bila shaka yeye anahusika moja kwa moja na huu upuuzi. Unless hujui hata dini yako imeandika nini.
Pia, Je, si mtume wenu alijifanya kupaa kwa farasi usiku kwenda Al Aqsa kuswali na kurudi usiku huo huo.
Unahitaji kuwa mjinga tu, ili kuamini na kutetea upuuzi kama huo.
Mtume wenu alishajifia miaka mingi iliyopita. Hatuongelei yeye kuleta huu Uzi.Huyo alie leta uzi huu ni mtume¿
Zuma riidi ni Pepo katika form ya mwanadamu,Zumaridi alisema alifika mbinguni aliona maghorofa mareefuuu sana yanang'aaa sana. Haya sisi yetu macho tukifika huko tutajua nani mzoefu.
Www hupendi kwenda Mbinguni?Mkuu mtumishi lini tena unatarajia kurudi kule tukupe maagizo
Mitume wetu 25 wote wametajwa kwenye Qur anMtume wenu alishajifia miaka mingi iliyopita. Hatuongelei yeye kuleta huu Uzi.
Nachosema ni kwamba kurani imeandika kuhusu mtume kupaa kwenda Al Aqsa na Sahihi Bukhari kaelezea kwa mapana zaidi kuhusu hilo, pamoja na suala la mtume kudaiwa kwenda mbingu ya kwanza mpaka ya saba, akaongea na manabii kwenye kila mbingu na mwishowe akaongea na Allah..
Hii Ina tofauti gani na Mwakasege au Zumaridi wanaodai kwenda mbinguni?
Je, unabisha kwamba hizo hadithi za mtume kupaa si halisi?
ulipewa taarifa anakuja liniSalaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU atamtambuaje?
Mwalimu Christopher Mwakasege akamjibu Kwa kumkumbusha juu ya siku aliyotoka ndani ya MWILI wake na kwenda Mbinguni, alipofika Mbinguni, alikutana na Nabii Musa yule Nabii wa kale, na alimtambua, akaongeza kusema, Ukiwa katika mwili wa kiroho, huhitaji kutambulishwa sababu Roho inajua yote na kutambua yote yajayo na yaliyokwisha pita.
..... Mwisho wa kunukuu....
Naungana na Mwalimu Christopher Mwakasege juu ya UKWELI wa jambo hili, mbingu IPO na ni halisi, Mimi pia nimewahi kwenda Nchi nzuri sana, mfano wa uzuri wa Nchi Ile hauelezeki, mji huo hakuna jua Wala mwezi, IPO Nuru nzuri sana ambayo macho hayachoki kuitazama,
Nimewahi kuandika pia juu kupewa taarifa juu ya ujio wa Yesu kulinyakua Kanisa Kwa kumwona Yesu akiwa na jeshi la Malaika, amepanda farasi mweupe wakienda Kwa Kasi mawinguni.
Ndipo tujue yafuatayo.
1. Mbingu ni halisi Si hadithi.
2. WATAKATIFU wote wapo Mbinguni, wakifa hawakai kaburini.
3. Mungu yupo na ni MMOJA, na Jina la Mungu huyo mmoja tulilopewa WANADAMU liwezalo kuokoa ni Yesu Kristo/YESHUA HAMASHIACH.
Mungu awabariki.
Wanachofanya wakina Zumaridi leo, alikifanya mtume wenu miaka kibao iliyopita.Mitume wetu 25 wote wametajwa kwenye Qur an
Hao kina zumaridi wametajwa kwenye kitabu gani kama ni mitume,
Si jabisha hadith naona huwelewi.
Huwezi kumchanga Mtume wetu na hao mitume wa michongo ambao hawafahamiki katika kitabu chochote cha mungu.
Soon Yesu anarudi kulinyakua Kanisa,ulipewa taarifa anakuja lini
Nipe sehemu panapoonyesha umetoka mbinguniSasa Mbinguni ndipo tulipotokea kabla ya kuvaa miili hii ya nyama na Kuzaliwa,
Kuongelea habari za Mbinguni ambako ndio nyumbani kwetu,
Si kutafuta headlines,
Ni kukumbushana kuwa duniani ni pa kupita tu.
Zumaridi ni mtume wenu baada ya yesuWanachofanya wakina Zumaridi leo, alikifanya mtume wenu miaka kibao iliyopita.
So, kama unaona wakina Zumaridi ambao tunawaona ni waongo, kwanini uamini kwamba mtume ambaye ni mwarabu unayemsikia tu alikuwa mkweli?
Nimecheka sana 🤣🤣🤣Kweli Tanzania tuna bahati
Mfalme Zumaridi amewahi kwenda mbinguni
Nabii Mkuu GeoDavid naye amewahi kwenda mbinguni
Mzee wa Upako naye amewahi kwenda mbinguni
Sasa mchungaji Mwakasege naye ameenda na kurudi
Ajabu huu ni Mwaka wa 2025 tunamsubiri Yesu arudi wakati hao wenzetu wameenda na kurudi Kwa kipindi kifupi tu 🙌
Maajabu hayawezi kuisha 🤗
Yeremia 1:5Nipe sehemu panapoonyesha umetoka mbinguni
sawaSoon Yesu anarudi kulinyakua Kanisa,
Aliponiangalia na kutabasamu, nilitaka nimfuate, lakini ndani yangu nilijiona nimechelewa.
Fua mavazi Yako katika Damu ya mwana- kondoo Yesu Kristo.
Baada ya Unyakuo, utaanza msimu mpya wa mateso na dhiki kuu.
Ni hatari ukiachwa.