Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii serikali ilikataza maswala ya kuombeana.Mwl Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika.
Maana yake ni nini? Mwl alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake kwa ustawi wa taifa letu. Hivyo basi nivema tuache tetesi za mitandaoni na tubaki kumuombea mema ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ustawi wa taifa letu.
Superbug.
Kwani kwa kawaida anakuwaga wapi?. Je umeenda kumuulizia ukajibiwa nn? Au huwa tukonae humu JF tupe ID yake nasi tumuhoji basi. Otherwise huna hoja bora ukae kimya na jiepushe na kufuata mkumbo tunakuona sawa na Nyumbu ya Serengeti inavyo migrate kurudi Tanzania.Sasa tumtakie afya njema haliyakua hatujui anaumwa au haumwi nayuko wapi kwanza mtujulishe kwasasa Rais wetu yupo wapi na amekutwa nanini?
Yupo wapi? Na huko aliko ana hali gani kwa sasa??Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika.
Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake kwa ustawi wa taifa letu. Hivyo basi ni vema tuache tetesi za mitandaoni na tubaki kumuombea mema ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ustawi wa taifa letu.
Superbug.
sana,,Wakina nani wasiolitakia mema taifa hili?. Kauli kama hizo zimetumika kuonea watu awamu hii, zimetumika kupitisha vitu ambavyo vinaumiza watu.
Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika.
Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake kwa ustawi wa taifa letu. Hivyo basi ni vema tuache tetesi za mitandaoni na tubaki kumuombea mema ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ustawi wa taifa letu.
Superbug.
Nyie mnaosema aombewe wakati anachapa kazi ndo mnaleta taharukiTunamuombeaje ilhali mamlaka hazijasema kama ni mgonjwa!!?[emoji848][emoji848]PM amesema mzee ni mzima yupo anachapa kazi
Mungu akujaalie hitaji la moyo wako!Namuomba Mungu anijaalie mimi Maisha marefu yenye afya njema na baraka tele! Amina.
🙏Long live his excellence the head of state, John Joseph Pombe Magufuli
Kosa la Mwalimu ni kutobadili katiba hii ya kidikteta kabla ya kung'atuka.
Amina! Na wewe pia.Mungu akujaalie hitaji la moyo wako!
Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake kwa ustawi wa taifa letu. Hivyo basi ni vema tuache tetesi za mitandaoni na tubaki kumuombea mema ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ustawi wa taifa letu.Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika.
Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake kwa ustawi wa taifa letu. Hivyo basi ni vema tuache tetesi za mitandaoni na tubaki kumuombea mema ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ustawi wa taifa letu.
Superbug.
View attachment 1726322View attachment 1726321View attachment 1726320View attachment 1726319