TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†! Mtumishi iko siku nakunywesha mi "image" weweπŸ˜›!
Mara moja moja ijumaa na j'mosi navinywa hivyo vidude, japo sukari yake iko juu sana, vitanishinda.. ilΓ  upatapo wasaa ukuje tuvinywe wote, it'll be memorable hakyanani!!
 
Mara moja moja ijumaa na j'mosi navinywa hivyo vidude, japo sukari yake iko juu sana, vitanishinda.. ilΓ  upatapo wasaa ukuje tuvinywe wote, it'll be memorable hakyanani!!

Mwinjilisti unayumbaaaa🀸🀸🀸πŸ”₯πŸ™ƒ
 
Credit to Malisa GJ
 
Ameumaliza mwendo, mtaalamu na mtunzi mbobevu wa nyimbo Samson Kibaso. Pole kwa familia, kanisa la Waadventista wa Sabato kwa ujumla na kwaya ya Kurasini
Nilijua umeongozana na ndg, jamaa na marafiki kumsindikiza!.
 
Ee Mungu twaomba uilende, Jumuiya Afrika Mashariki...

Nakumbuka nikiwa chuo ilikua ndo wimbo wetu, maana tulikua mataifa mengi. Sikuwahi kuusikia kabla, ila sasa ni uko moyoni.

Subuhanallah! "ila sasa ni uko moyoni"

Ndugu yangu Muislamu, unapotea,,,,achana na hayo manyimbo yasio na faida yoyote,,soma Qur'an ndio kila kitu.
 
Oooh! pole sana wanafamilia, pole ya kupoteza, pumzika kwa raha na amani ya Milele Mwl. Kibaso!
 
Msiwe mnakurupuka,mazishi yake yamehudhuriwa na Mkuu wa mkkoa wa simiyu,na naibu waziri mwita waitara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…