TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

Rafiki yangu sana namkumbuka na wimbo wake maarufu sana huu wa Najivunia Yesu

Ameniliza kweli kifo chake

huyu hapa akiimba huyo mwenye vesti nyeupe na kaptula

Subuhanallah! "ila sasa ni uko moyoni"

Ndugu yangu Muislamu, unapotea,,,,achana na hayo manyimbo yasio na faida yoyote,,soma Qur'an ndio kila kitu.
Asante kwa ukumbusho,

Lakini nna moja la kushangaa. Huu muda ulopita kufungua, ukasoma huu uzi ungekua umehifadhi aya ngapi ama umeleta stighfaar mara ngapi.

Tujue kuwa na kiasi, usikurupuke katika kila jambo.
 
Nashanga mzalendo kama wewe humjui. Tanzania mshazoea kuwasikia Mondi, Harmonize.

Nashangaa mpk muda huu viongozi kimya na hutawaona msibani cc:msiba wa meneja fulani

Ova
Comment zako kwa cc tuliosoma falsafa tunazielewa Sana.
 
Hasa waimbaji wa nyimbo za Noten R.I.P Mwendo umeumaliza kampumzike salama
 
Nashanga mzalendo kama wewe humjui. Tanzania mshazoea kuwasikia Mondi, Harmonize.

Nashangaa mpk muda huu viongozi kimya na hutawaona msibani cc:msiba wa meneja fulani

Ova
Mzalendo wapi huyu njaa kali wazalendo wapo wamekaa kimya wanawatizama huku wanatikisa miguu
 
Asante kwa ukumbusho,

Lakini nna moja la kushangaa. Huu muda ulopita kufungua, ukasoma huu uzi ungekua umehifadhi aya ngapi ama umeleta stighfaar mara ngapi.

Tujue kuwa na kiasi, usikurupuke katika kila jambo.

Mkuu, au nimefanya kosa kukkumbusha! Kwani kuingia na kusoma kilicholetwa ni dhambi? Naomba unielimishe mkuu kwa hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…