Hii serikali yetu kwa kifupi haijali wala haiwapendi wanainchi wake,, ,,
ukiangaalia mambo mengi wanayoyaanzisha now ni kwa ajili ya kuwagandamiza wanainchi badala ya kuwasaidia.,,
Hili la kupanda kwa gharama za covid 19 test ni zaidi ya ""let me go I can't breath..""
Hivi utapandishaje gharama za kupima covid 19 kwa kisingizio cha kuongezeka kwa vipimo?
Je huyo mtalii mbona gharama za kupima ni zile zile za zamani?au yeye anapimwa na kitu gani ?
au pengine mtanzania baada ya covid test anapewa na zawadi ya kaunda suti?? ya kupandia ndege for free
Before --(gharama).
-- mtalii 100$ malipo
-- raia 17 $ malipo
new-- ( gharama).
--mtalii -- 100 $ malipo
-- raia 100 $ malipo
So sad..
Yaani inchi inathamini zaidi mtalii kuliko mwanainchi ?.
Hii duniani kote hakuna hyo,,
kuthamini mgeni na kumtesa mwanaichi wake..
Hivi huo uzalendo kwa inchi yangu utatoka wapi kwa mfano?.
Wakati serikali yenyewe haithamini raia wake?
Duniani kote uzalendo kwanza unaanza na serikali kuwapenda raia wake,,
Ndipo raia huipenda inchi yao.
Iweje watu watuletee mambo ya ajabu ajabu halafu kesho utegemee kuipenda inchi yetu.
Vitu kama hivi ndy huleta chuki na serikali.
Sababu ya akili za watu wachache,,
Kwa maamuzi yasiyo na tija.,
Lazima wahusika mliopewa mamlaka muelewe kwamba si kila anayesafiri nje,, basi ni Tajiri ,au ana pesa sana,,
Wengine malofa wanaunga unga tu,,
msihadaike na uwingi wa raia wanaojazana hospital kupima covid 19 kwa ajili ya kusafiri nje..
Msije mkatuona ni matajiri au chanzo cha mapato..
Mpaka kupelekea kuanzisha huo mradi wa covid test,.
Mfano mabaharia,, tunakaa juu miaka bila kupandia meli,,
Siku umepata kazi na pesa huna za kutosha,,,
--Umlipe agent viza 400 $.mfano Dubai,Qatar au saudia.
Umlipe agent aliyekuunganishia kazi ---500 $.
--Bado ukalipe 100 $ covid test.!!!!
Hii haipo sawa wahusika.
Hivi hizo pesa kwa mtu ambaye hana kazi miaka 2 atazitoa wapi?
Badala ya serikali kumsaidia mwanainchi wake ,,wao wanaweka ugumu.
--So sad inchi yangu.
---So sad Tanzania,,
Serikali naomba mliangalie hilo,,msije mkaonekana kituko mbele ya dunia nzima...