Wanadhani wote wanaoenda nje ya nchi ni matajiri, wakati kuna wanafunzi na wagonjwa pia.....mwananchi sasa anakamuliwa hadi damu.Duu!! Aisee!!! hivi kama kupima covid 19 ndy dola 100 $ hivi hiyo chanjo ikija si ndy tutachanja kwa dola 1000 $ kabisa?....
Siku zaja hata bashite nae siku hizi eti ni raia asiye na kaziMkuu hiyo ipo na itaendelea kuwepo maana siku hazigandi
Wewe acha bangi kuna watu wa kawaida tu mfano wanafunzi wanaenda nchi hizo, kwa hiyo mnakamua kwa sababu mnafikiri wote wanaosafiri nje ni matajiri....bullshit..Mtanzania wa kawaida anaenda Belgium, Canada au USA kutafuta nini
Hata yeye wakati ukifika usishangae akapandishwa ndege ya kuelekea The HagueSiku zaja hata bashite nae siku hizi eti ni raia asiye na kazi
Ni ajabu kujilinganisha nchi ambazo mfanya usafi analipwa dola 10 kwa saa!Huku sina idea Mkuu.
Huyo hata anachokiongea hajui tuWewe acha bangi kuna watu wa kawaida tu mfano wanafunzi wanaenda nchi hizo, kwa hiyo mnakamua kwa sababu mnafikiri wote wanaosafiri nje ni matajiri....bullshit..
Sisi hatuna corona kwa mujibu wa Serikali ilitakiwa watanzania wapewe hivyo vyeti maana sote hatuna corona halafu watalii ndiyo wapimwe maana kuwapima Watanzania ni kana kwamba taarifa ya kuwa hakuna corona itakuwa siyo sahihi.
Vipi wanafunzi, watoto, wagonjwa nao wanaenda kufanya biashara?[emoji16][emoji16][emoji16]mtu analalamikia 100$,anadhani wanaovuka mpaka wanakwenda kusalimia wazazi kama yeye akiwa anakwenda kijijini kwao.
kumbe watu wanafanya biashara,na kwa umuhimu wa biashara na faida wanazopata 100$ sio ishu.huu ni wakati wa dharula.
serikali zinazohitaji hivyo vipimo,zilisahau kama kuna kundi hilo la watu???Vipi wanafunzi, watoto, wagonjwa nao wanaenda kufanya biashara?
Hivi wewe hujui kuna madereva wa malori na wafanya biashara wadogo wanavuka boda kila siku? Congo,Kenya,Uganda,Malawi....Mkuu mimi huku nilipo nimesha fanya sana hiyo PCR TEST na kwa gharama hiyo hiyo,sasa yeye anafikiri akitokwa povu humu linaweza kumsaidia kubadili chochote.
Kwani wapi mimi nimesema gharama ni kubwa au sio kubwa? mbona unanilisha maneno? mimi nimecompare hiyo $100 ya PCR TEST na hapa nilipo tu,sijasupport kusema gharama ni kubwa au ndogo.Hivi wewe hujui kuna madereva wa malori na wafanya biashara wadogo wanavuka boda kila siku? Congo,Kenya,Uganda,Malawi....
Hicho cheti kina dumu kwa sik 14 TU ina maana hilo zoezi ni la kila mara huoni kwamba ni gharama za ziada?
Hatukatai kutoza pesa ,
Tatizo ni kupandisha Kiwango cha pesa,,
Tena kwa sababu zisizo na mshiko
Acha uongo
Kama Wana uwezo wa kwenda kusoma nje basi hiyo $100 mbona ndogo sanaWewe acha bangi kuna watu wa kawaida tu mfano wanafunzi wanaenda nchi hizo, kwa hiyo mnakamua kwa sababu mnafikiri wote wanaosafiri nje ni matajiri....bullshit..
Hiyo $100 ndogo sanaWewe umesafiri wapi nje ya hapo kwenu KONGWA?
Hahaaaaaaaaa!Majizi wakubwa
Ndivyo mlivyofundishwa?Kama Wana uwezo wa kwenda kusoma nje basi hiyo $100 mbona ndogo sana