Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

Kutoka 40,000 hadi 230,000...!!!! Pesa ni nyingi sana hii.Mbaya zaidi ni lazima. Hapo kuna wahuni watafoji hivyo vyeti.
 
Dunia kote kama unataka kusafiri na uko airport kuna garama zake na majibu ni papo kwa papo mfank uk ukipima ukiwa airport ni pound za ya 100,ila ukipima nje uraiani ni chini sana garama sema majibu yanachelewa kutoka

Ova
 
Sisi hatuna corona kwa mujibu wa Serikali ilitakiwa watanzania wapewe hivyo vyeti maana sote hatuna corona halafu watalii ndiyo wapimwe maana kuwapima Watanzania ni kana kwamba taarifa ya kuwa hakuna corona itakuwa siyo sahihi.
Ukisikia “tunajenga kwa fweza za ndani”, hii ndio maana yake!

Yaani wameona ile Tshs. 100,000/- haiwatoshi?!
 
Ukisikia “tunajenga kwa fweza za ndani”, hii ndio maana yake!

Yaani wameona ile Tshs. 100,000/- haiwatoshi?!
Ilikuwa ni 40000 kwa mtanzania.
100$ kwa mtalii.

Wameona wamwongezee raia machungu na kumwacha mtalii na Kiwango kile kile..

Sababu wao kusafiri nje ni anasa
 
Hizo n assumption na maombi yako kwa Mungu wako na ndo maana haijatokea hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…