Mwongozo wa Ufahamu: Namna ya Kuwabaini Matapeli wanaotumia mbinu ya kupiga Picha na Viongozi

Anatapeli vipi sasa??
Miss Natauta: hydroxo nmemaliza chuo naomba unitafutie kazi.

Hydroxo:Hakuna tabu mdogo wangu umesoma kozi gani?

Miss Natafuta: Nimesoma bachelor of pharmacy St John.

Hydroxo:Aah sawa hakuna tabu, nitumie vyeti vyako nikaongee na muheshimiwa mchengerwa nafahamiana nae.

Miss Natafuta:Kumbe unafahamiana na mchengerwa?

Hydroxo:Ndio kuna maeneo yetu tunakuatana sana kama hapa nlikua nae Dodoma tukibadilishana mawazo na siyo huyo wengi tu nafahamiana nao

Screenshot_20260806-204653.jpg
Miss Natafuta:Aah sawa basi hakuna tabu ntafurahi ukinisaidia.

Hydroxo:Sawa lakini kuna kiasi natakiwa unipatie kwa ajili ya kazi yako pia kuna mpambe wake tumpoze kidogo.

Miss Natafuta:Kama kiasi gani?Lakini kazi ni uhakika usije kunifanyia uhuni.

Hydroxo:Kwa jambo lako ilo laki 3 tu inatosha kazi utachagua wewe upangiwe wapi.Kuhusu kukutapeli sahau mimi ndo kazi zangu mjini hapa wengi tu nshawapa connection.

Miss Natafuta:Sawa ngoja nimwambie baba anipe.

Hydroxo:Sawa utanitumia kwa namba yangu hii 073.....9 jina Kiperasinga Mpagasangu.

Miss Natafuta:Sawa jioni ntakutumia

Hydroxo:Nimeipata laki 3 sasa ngoja nikupambanie.

Miss Natauta:Sawa

Hapo ushaliwa tayari hakuna kazi wala kibarua.
 
Miss Natauta: hydroxo nmemaliza chuo naomba unitafutie kazi.

Hydroxo:Hakuna tabu mdogo wangu umesoma kozi gani?

Miss Natafuta: Nimesoma bachelor of pharmacy St John.

Hydroxo:Aah sawa hakuna tabu, nitumie vyeti vyako nikaongee na muheshimiwa mchengerwa nafahamiana nae.

Miss Natafuta:Kumbe unafahamiana na mchengerwa?

Hydroxo:Ndio kuna maeneo yetu tunakuatana sana kama hapa nlikua nae Dodoma tukibadilishana mawazo na siyo huyo wengi tu nafahamiana nao

View attachment 3644576Miss Natafuta:Aah sawa basi hakuna tabu ntafurahi ukinisaidia.

Hydroxo:Sawa lakini kuna kiasi natakiwa unipatie kwa ajili ya kazi yako pia kuna mpambe wake tumpoze kidogo.

Miss Natafuta:Kama kiasi gani?Lakini kazi ni uhakika usije kunifanyia uhuni.

Hydroxo:Kwa jambo lako ilo laki 3 tu inatosha kazi utachagua wewe upangiwe wapi.Kuhusu kukutapeli sahau mimi ndo kazi zangu mjini hapa wengi tu nshawapa connection.

Miss Natafuta:Sawa ngoja nimwambie baba anipe.

Hydroxo:Sawa utanitumia kwa namba yangu hii 073.....9 jina Kiperasinga Mpagasangu.

Miss Natafuta:Sawa jioni ntakutumia

Hydroxo:Nimeipata laki 3 sasa ngoja nikupambanie.

Miss Natauta:Sawa

Hapo ushaliwa tayari hakuna kazi wala kibarua.
Ohooo kumbe. Ahaaa
Ndo KAZI zako.nini mkuu??
 
Ukiona mtu anataka kuaminika kwa strangers kwa kukuonesha picha aki-hang na wanaoaminika au hata watu wenye ushawishi na nyadifa fulani jua unapangwa!

Bwana ONTARIO alipoweka tu picha humu akiwa na akina Ruge Mtahaba mara AY nikajua kuna wajinga wanasetiwa.
 
Sema huu utafutaji wa hela wa Jamaa ni mgumu mno.anapata hela kweli?
Wajinga wengi tu watu wanapigwa daily.

Tena kuna watu ukiambiwa ndo kazi zao huwezi kuamini.

Kuna video ya shehe Walid akimtuhumu shehe Alhad Mussa kwamba ni shehe wa connection za kukutanisha watu na viongozi.

Sasa usifikiri huyo shehe Alhad hizo kazi anafanya bure lazima akuchaji na kufanikiwa au kutokufanikiwa juu ya jambo lako utajua mwenyewe.

Hizo ni kazi za watu mjini.
 
Back
Top Bottom