Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #81
Hizo picha kapost mwenyewe na caption kaweka mwenyewe.. Tafadhali soma mada uilewe hasa kwenye tamati.. Kwakuwa nimeweka kama ulizo! Na si tuhumaNaona umetoa kama picha za mfano huoni kuwa humtendei haki yeye na hao viongozi uliowaweka hapo?
Tamati:
Who is this guy? Je ni mmojawapo ama ni limbukeni fulani aliyepata nafasi hivi karibuni?
Nani anamjua?