Mwongozo wa Ufahamu: Namna ya Kuwabaini Matapeli wanaotumia mbinu ya kupiga Picha na Viongozi

Mwongozo wa Ufahamu: Namna ya Kuwabaini Matapeli wanaotumia mbinu ya kupiga Picha na Viongozi

Ukiona mtu anataka kuaminika kwa strangers kwa kukuonesha picha aki-hang na wanaoaminika au hata watu wenye ushawishi na nyadifa fulani jua unapangwa!

Bwana ONTARIO alipoweka tu picha humu akiwa na akina Ruge Mtahaba mara AY nikajua kuna wajinga wanasetiwa.
Hivi Ontario Yuko wapi? Nasikia Yuko segerea
Ila wanaume wa jf wanapenda hela za kudowload .aliwapiga hatari
 
Huyu jamaa ni domo zege pasee😂
IMG-20260806-WA0037.jpg
 
Back
Top Bottom