My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Ila kiukwel watu weng hawatumii ndomu..amin hilo...mim huu ni mwaka wa 3 si.tomb bila ndom na niko makin sana

Sili de.nda kijinga..nahakikisha sjajichubua na mswak...

Nikishave sit.ombi had zipite siku 4 maana najua ukishave lazima ujikate kdgo hata kama hutoona

Kiufupi mim nina Phd ya kutumia ndomu
hongera
 
Nimesoma na watu wamezaliwa nao 21 years na bado hawaumwi. Mi sitoi pole natoa pongezi ya kupima na kujua status yako.
Na hawa ni wengi zaidi.

Wengi walizaliwa hapo 1990-2015 wakati hamna dawa za kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Wengi saivi ndo hawa warembo na mabrazameni wanadunda tu.
 
habari sio nzuri hii kwa akina gudume na wengine wanaojua kufukuzia madem humu
 
Ongera kwa kuwa na moyo wa ujasiri na kukubali afya yako, umetuamsha vijana tujali afya zetu mana tumejisahau sana tunaula ujana bila kujua kwamba ujana unaweza ukatula sisi.
 
Hii ya mtu anayejua status yake kumwambukiza mwingine sio uuwaji kweli huu?
Duh pagumu ila inategemea, imagine umekuwa na mtu mnakulana for years halafu hajijui kama alikuwa na ngoma. Huwezi mshtaki maana mmekuja kujua very late.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom