Unaogopa kufyatuliwa Ubongo kwani unampango wa kutengeza Kadi 5 😎Kila siku kiko na nishakukataza hamia huku kwetu 420💚
Nije unifyatue ubongo! Akhuu😂😂 we okoteza wengine hao mi nitumie humuhumu🤣🤝🏽
Yaani naogopa mimba kuliko ukimwi😂💔Of course mimba wanachukulia kama kinga ya kulinda mahusiano yao
Kitu wasichojua, Wanaume hatupendi hizo unplanned pregnancies
Na Mwanaume anachepuka kwaajili ya starehe tu na kufanya fantasies zake
Kama watoto anao kwa mke wake huko
Mnatuchanganya mkuu!🤗Hapo unakuta miongoni mwenu hayupo hata mmoja mwenye mtoto. Anachokikusanya kwenu anaenda kula na baba halisi wa mtoto ambaye hatoi hata sumni.
Ulifanya jambo jema kumuepuka.
Kuna makosa mengine tu nitafanya sio hayo ya kimasikini eti kadi 5 upuuzi mtupu🙌🏾Unaogopa kufyatuliwa Ubongo kwani unampango wa kutengeza Kadi 5 😎
Fanya uniletee Kiko Mjukuu, unajua nilivyomisi 🤗
Hahaha.............Mimi naogopa vyoteYaani naogopa mimba kuliko ukimwi😂💔
Sijui ni kwanini nikamzalie mtu ana mke wake huko, ili nigundue nini? Tena ukizaa mapenzi yanaisha on spot🤣🏃🏽♀️
In my late 40s😌Kwamba nawe ni Mshangazi 🤪
Hiyo ndiyo inatakiwa, mnakula mema yenu bila kuleta hizo drama za mimba mimba 🤗
Now we are talking 🤝🏽Hahaha.............Mimi naogopa vyote
Kwa umri huu wa Uzee, sio afya kubeba HIV wala kuanza kulea watoto kwa pension
Of course ukimbebea mimba, mapenzi yanaisha hapo hapo, kwani utakuwa umevunja Mkataba wenu
Hicho kijamaa kinaitafuta 50, kula papa bado kinakula ni jasiri huyo haachi asili yakeMimi nahisi hiki kijamaa ni kiajuza around 50, lakini kilikuwa active sana kwenye ujana wake.
Ni ukweli usiopingika, kwa uzoefu wangu, hakuna mahusiano yanayoweza kudumu kama Mwanaume hauhudumiiMnatuchanganya mkuu!🤗
Mbona tunaambiwa mwanamke hapendi na hawezi kuwa na mwanaume asiemuhudumia?
Hakikisha unamfinyia kwa ndaniNgoja nimle😂😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Ndio kipaji kikuu nilichonacho🤣Hakikisha unamfinyia kwa ndani
Tuma soft copy kwanza nianze kuuperuzi mambo ya kutugonganisha mlimani nimekataa🤣Hahaha .......we niletee Kiko jioni nikupe na huo Mkataba wenyewe 🤗
Basi kula kuku kwa mrijaNdio kipaji kikuu nilichonacho🤣
Niachie kadi tu mzee wangu tuwe kama harmonize na kajala😌Koh Koh Koh
Ndiyo wakati wa kutoa password ya Akaunti yenye hela za Pension sasa 🤪