My Confession: Nilivyohudumia Mimba iliyokuwa na Baba 5 pasipo Kujuana

Mahi na shem mko sawa sasa hivi?
Unaambiwa ikishapita miaka kumi ya mwanzo ya ndoa hamjaachana basi hamuachani tena
Sasa hivi matatizo yapo madogo madogo lakini yale makubwa yameisha.... tumepata baraka ya ela naona imepunguza matatizo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โค๏ธ
 
Mlipima ukawa unamwaga ndani
Kisha mimba ukakataa
Tuliokuwa tunamwagia ndani tulikuwa wengi

Wacha wale wenzangu wanne waliobaki wapambane

Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake
 
Unajua kiasi flani shem kakusaidia kukushtua ubongo..!!
Bila ya kukusumbua usingepata akili ya kutafuta pesa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Umejua kuifanya changamoto kuwa fursa..!! Wengine wangeshinda kwa Mwamposa na kuchakaa..!!
 
Alafu kuna watu hawaoni umuhimu wa hela kwenye mahusiano ๐Ÿ™Œ

Imagine mkeo amejua mtoto wako wa nje, lakini ili kusolve hiyo ishu unamkatia tiketi ya ndege mnaenda kusovia Dubai ama hapo South

Mgogoro lazima uishe ๐Ÿคญ
 
Walahi
Nasemaga kila siku
I was just there relaxing.....
Ila alivyonisumbua nilikua nasema
Sasa Mungu true love sijapata...naomba nipate pesa....naamka asubuhi nasafiri naenda huku... a lot of sucrifice...yaani alinifanya nikatoka kwenye comfort zone kabisa...
Ila sasa hivi katulia sana, yaan sana
Ila kingine kuna pastor mmoja wa nigeria anaendeshaga live prayer anasemaga umaskini ni chanzo cha matatizo mengi sana na sio utukufu
Pesa inaleta amani kwa kiasi chake
Lakini pia Mungu ni wa kumtanguliza yaani usiache hata kama unauona utulivu wa hali ya juu,maombi ni muhimu
 
Hayo mahusiano yakupangana kwa hiyo idadi yamekuwa kawaida miaka hii

Ndiyo maana sisi wengine baada ya kujua tupo kwenye hiyo chain tunajitoa

Hauwezi kukubali kupangwa msurulu hivyo wakati demu una muhudumia kuanzia Kodi na kula yake

Kwasasa vijana wawe makini kutumia ndomu, sisi mwaka 47 hakukuwa na hiyo changamoto ya HIV
 
Alafu kuna watu hawaoni umuhimu wa hela kwenye mahusiano ๐Ÿ™Œ

Imagine mkeo amejua mtoto wako wa nje, lakini ili kusolve hiyo ishu unamkatia tiketi ya ndege mnaenda kusovia Dubai ama hapo South

Mgogoro lazima uishe ๐Ÿคญ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unampeleka Bali-indonesia kumuomba Msamaha
Hahahha
Jamani Mungu awafungulie baraka
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unampeleka Bali-indonesia kumuomba Msamaha
Hahahha
Jamani Mungu awafungulie baraka
Unaomba msamaha huku mnafukizwa uturi wa Kihindi, kwanini msamaha usikubaliwe ๐Ÿคญ
 
Sasa mbona unachafukwa nafsi kuona mikeka ya 'babu' inaelekea kutiki?๐Ÿคญ
 
Pesa hurekebisha mapungufu mengi.

Hongera na ndoa njema kipenzi..!!
 
Sasa mbona unachafukwa nafsi kuona mikeka ya 'babu' inaelekea kutiki?๐Ÿคญ
Kunijia na matipo ndo michezo siipendi.
Kama umemuelewa babu mpelekee acha kujizungusha..!!
 
Pesa hurekebisha mapungufu mengi.

Hongera na ndoa njema kipenzi..!!
Wewe si umegoma kuolewa Mjukuu

Akina Country hadi wameniletea Babu yao zawadi ya Kiko, ajabu wewe Mjukuu ukawagomea posa yao ๐Ÿ˜…
 
Wewe si umegoma kuolewa Mjukuu

Akina Country hadi wameniletea Babu yao zawadi ya Kiko, ajabu wewe Mjukuu ukawagomea posa yao ๐Ÿ˜…
Ila babu umewaza nini leo? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Subiri nakuletea mjukuu wa kukupa ngโ€™ombe na bibi vitengeโ€ฆ!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ