My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

Bado anampenda ex wife wake ndio maana napata maumivu sana
Rafiki kwa hiyo huyo ex wife wake asingekuwa kwenye mateso bado huyu jamaa angeendelea kuwa kwenye maumivu sana kwa sababu anampenda?
 
Fanya mpango muonane, msilikize anasema nini kuhusu ndoa yake
Ukiongea nae utajua mengi na wewe utajua umsaidieje
Pengine anashindwa kuomba talaka labda sababu za kiuchumi au kijamii zaidi
Just tengeneza urafiki nae
 
Unamuonea huruma kwani ulimuumba Wewe? Balance shobo
 
Mkuu nimegundua huyu mwanaumke alikuacha sababu unapenda umbea
 
Rafiki kwa hiyo huyo ex wife wake asingekuwa kwenye mateso bado huyu jamaa angeendelea kuwa kwenye maumivu sana kwa sababu anampenda?
Huruma huambatana pamoja na upendo, pamoja na maumivu ya kitendwa ambayo ex wife amemsababishia jamaa ila bado anaumia na anatamani akamnasue, naamini ni kwa sababu ya upendo
 
Achana na mademu wa watu
 

KUWA MKWELI KWAMBA UNAMTAMANI ! NI KITU GANI KILIWAFANYA KUACHANA NI MKEO ?
MWISHO KUMBUKA UZINZI NI DHAMBI
 

"Tangu nipate habari hii, nimeumia sana..."

Nyie madogo, sielewi mnafeli wapi!
Huyo mwanamke ni mke wa mtu mwingine.

Ukiamua ku-deal naye sasa, ni sawa na kukalia au kukanya makaa ya moto - Proverbs 6:28-29
 
Kama anakulilia jamaa anamtesa mwambia aondoke hapo kwa mshikaji.. Wewe kama hujaoa mwambie aombe talaka umuoeee...!! Lasivyo unatakaa Matatizooo mkuu...
 
Aisee
 
Una mwaswali ya kitoto kichwani mwako, kuwa unaumia unajiuliza je nampenda so what kama unampenda unatuulizaje sisi hayo maswali? , listen brother unataka kumtoa kwenye mahusiano yake umpeleke wapi kwa mfano wakati una mchumba tayari pia,
Eti anataka wakutane sehemu aongee naye na kumpa psychological support
 
For sure jamaa, n kindly Sana,.....
 
Unashauri au na ww unatoa lawama zako ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…