My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

My List: Most Beautiful Tanzanian Female Celebrities

3: Jacqueline Ntuyabaliwe


a1fbf650688311e29a6422000a9e06c4_7.jpg


kay-lin-2-700550.jpg

Huyu anafaa kuwa namba MOJA
 
images
images
images
images
images
images
images


Hawa ndiyo warembo wa ukweli mkuu wangu watu8 hakuna make up,manywele ya bandia,mkorogo,makucha ya kubandika na nk.Hawa wanawakilisha kundi kubwa la wanawake wa vijijini ukibahatika kumpata ukamleta mjini ukampigisha viwalo vya ukweli pamoja na misosi ya uhakika nakuhakikishia hakuna cha Wema sijui Jackline wote watapigwa chini.

Picha kwa hisani ya vijiji Masaini,Masasi,Zanzibar.

Wapi sister p?
 
Last edited by a moderator:
Na kweli...ila huyu binti ni mrembo sana jaribu kufuatilia muonekano wake kabla hajaanza kuchakachua ngozi yake

kumbe wengi tuna mawazo sawa, huyu dada ni mzuri sana kwa ngozi yake ya asili aachane na mkorogo na kidogo apunguze chips na kuku yaani weight atashika no moja tena!!!!
 
Umeniharibia mtiririko wa kufuatilia hii mada ndugu yangu,yaani unaweka mhindi kweli kwenye list hii kweli kabisa.Haya nimeachana na hii sired bwana umeniharibia siku

lakini ni mhindi wa shinyanga !.....anapiga kisukuma kama anatoka kijiji kimoja na mzee wa vijecenti aka kodi ya sim kadi !
 
Mbona hamsemi kuwa wake wenu wazuri wanaowatunza na kuwabembeleza usiku mkiwa mnakoloma?wanawatunzia watoto wenu,kukupikia chakula,kukufulia nguo hadi chupi mnabaki kusema mnabaki kusifia Masister DU wa mjini.

HAKUNA MWANAMKE MBAYA ZAIDI YA MATUNZO..

mbona Supika ana matunzo ya kutosha na bado yuko vile ?
senkyuu veree maaachee !
 
EWAAAAAAAAAAH!!!!,
hayo ndo maneno sasa, ebu cheki vyumba vya uwani hivyo.
Duh hii toto kAPITENI anaweza akahonga hata jimbo

Mkuu umefanya nimecheka sana hapo kwenye red
 
Umeniharibia mtiririko wa kufuatilia hii mada ndugu yangu,yaani unaweka mhindi kweli kwenye list hii kweli kabisa.Haya nimeachana na hii sired bwana umeniharibia siku

Huyo ni Mtanzania tena mzuri kuliko wote mliowabandika, Tazama hapo ni natural, hakuna rangi wala mkorogo wala nywele za maiti, compare na hao wengine waliobandikwa uone kama hao wengine hawautafuti huo uhindi kwenye makopo.
 
Back
Top Bottom