My week end is super crazy

Wewe una uwezo wa kununua tv nyingi kama njugu hii mikopo ya kizushi haikufai

Wala sina uwezo wa kihivyo na mara nyingi tu inatokea sina hela ila maishani mwangu moja ya vitu sipendi ni kukopa kopa na kuomba omba.

Naweza kuwa bff wako tukakutana tukacheka na usijue jana nimelala njaa
 
Sawa mkuu nimekuelewa🙏🏼
Ila kusema ukweli tunakosewa sana ni hiyo basi tu
Hela imekuwa ngumu mno anatafutwa kwa kila namna, muhimu ni wewe binafsi kuchukua tahadhari.

Vipi lakini wale watoto wanaendelea je?
 
Sawa mkuu.
Nimefuta fasta.
Unaweza ukajikuta unapoteza vi connection vyako vyote hivi hivi aisee😀

Hawa wana baraka za wanaoweza kuwazuia ndo mana wanafanya mambo yao bila hofu.

Asante
 
Hela imekuwa ngumu mno anatafutwa kwa kila namna, muhimu ni wewe binafsi kuchukua tahadhari.

Vipi lakini wale watoto wanaendelea je?
Kabisa mkuu.

Watoto wanaendelea vizuri .asante.
Tunaanza kuzoeana sasa
 
Nadhani bila shaka unatumia tigo, niliona ujumbe huo kwenye namba yangu ya tigo. Nadhani sms kama sms nyingine za matangazo.
 
Nadhani bila shaka unatumia tigo, niliona ujumbe huo kwenye namba yangu ya tigo. Nadhani sms kama sms nyingine za matangazo.
Okay.
Matangazo mengine huwa nayapuuza ila hii nimepaniki sbb ya vile nasikia story mbaya kuhusu hao watu
 
Sioni tatizo likowapi si unapotezea tu
 
Binafsi huwa sioni furaha ya kudekeza mtoto..
Ile ongea yao ya kimideko hasa likiwa la kiume huwa nakereka sana..

Napenda sana mtoto awe rafiki sio kuact kule kudekadeka hata huwezi kwenda nae mahali maana atakutia aibu.
Mie pia, madeko nachukia kupindukia..
 
Wanalia kwa kupokezana, nimecheka sana. Ila ngoja waondoke ndio utagundua amsha amsha yao ndio starehe ya watoto. Ila mimi ningemkata mmoja jicho tu, tayari, shhhhhhh kimya. Nikiamka hapo, mapigo yake afadhali mtalebani na Hezbollah. Hawarudii.
 
wakitoka kwako walete kwangu wakutane na mama mwenyenyumba wangu! asubuhi hii tu wanakutana na chai ya rangi na viazi vitamu kwa dharura kwakuwa wageni wamekuja tutajikaza japo mayai yanaweza kuwepo.
tunafikiri tunalea watoto vizuri matokeo yake tumeharibu watoto na jamii kwa ujumla.
watoto wanaougua kisukari, matatizo ya macho na pressure wanaongezeka kila kukicha na sababu kubwa ni aina ya chakula tunachowapa tukijisikia fahari kuwapa matakataka nabada ya chakula halisia.
tunajisikia furaha kwa watoto wetu kuonekana tofauti kwa jamii eti wako class fulani huu ni upuuzi mtupu.
sisemi kuwa msiwape watoto chakula kizuri lakini lazima watoto wawe na uwezo wa kumudu mazingira tofauti kwa kadri ya uhitaji unaowafaa.
tumeshuudia watoto wanatoka nchi kama Canada tena wenye umri mdogo wakivipiga chini vyakula vyao na kuvutiwa na vyakula vya kibongo.
wakumbuke kuwa kila kitamu kinauchungu wake wajipange kwa watoto wao kuwa wanasesere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…