mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 369
- 446
OkWanasoma hizi hizi kayumba zetu zilizochangamka kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkWanasoma hizi hizi kayumba zetu zilizochangamka kidogo.
Wewe una uwezo wa kununua tv nyingi kama njugu hii mikopo ya kizushi haikufai
Hela imekuwa ngumu mno anatafutwa kwa kila namna, muhimu ni wewe binafsi kuchukua tahadhari.Sawa mkuu nimekuelewa🙏🏼
Ila kusema ukweli tunakosewa sana ni hiyo basi tu
Sawa mkuu.Tahadhari, ukiona sms yoyote ya kuhusu ushindi, mkopo au chochote usichokuelewa na umewekewa link, usibonyeze Wala kupiga hizo namba. Delete Kisha endelea na mambo yako.
Hadi naanza kuwaza kwenye haya maofisi tunapotembelea na kutakiwa kuandika namba za simu, huenda Kuna watu hua wanachukua zile taarifa Kwa kazi kama hizi.
Umekaa zako umetulia unatafakari mambo ya msingi, inaingia sms umeshinda 6,000,000/- kutoka sijui kampeni Gani, unaelekezwa namna ya kuipata, hapo ndio inakua chanzo Cha hitilafu.
Pole sana Kwa usumbufu uliojitokeza.
Nadhani bila shaka unatumia tigo, niliona ujumbe huo kwenye namba yangu ya tigo. Nadhani sms kama sms nyingine za matangazo.View attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏
Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️
Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?
Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?
Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Kama hujachukua mkopo kwao hata usiogope na cha ziada usipende kufungua link unazotumiwaOkay.
Matangazo mengine huwa nayapuuza ila hii nimepaniki sbb ya vile nasikia story mbaya kuhusu hao watu
Sioni tatizo likowapi si unapotezea tuView attachment 3110083
OUT OF TOPIC WAKUU🙏
Kuna hii sms nimetumiwa juzi nikaogopa ila kila ninayemuuliza hajui.
Eti wakuu hawa si ndio wa mikopo ya online wanaodhalilishaga watu?
Hapo wanaposema "UMEKUA MMOJA WA WAPOKEAJI WA MKOPO WETU"
wanamaanisha nini?Pananiogopesha!☹️
Namba zangu wamepata wapi ikiwa sijawahi hata kuwaza ku apply hiyo mikopo?
Au ni matapeli?
Hivi inawezekana mtu ku apply hiyo mikopo kwa jina langu?
Half american mshamba_hachekwi Pendaelli
Atoto
Elsa Marie
Evelyn Salt
Equation x
The Monk
cocastic
Na kweli, kila kitu ni somo.Tumeshaanza kuelewana dear.
Mpaka siku wanaondoka mimi na wao wote tutakua tumebadilika.
Hata mimi kupitia wao najifunza vitu
Mie pia, madeko nachukia kupindukia..Binafsi huwa sioni furaha ya kudekeza mtoto..
Ile ongea yao ya kimideko hasa likiwa la kiume huwa nakereka sana..
Napenda sana mtoto awe rafiki sio kuact kule kudekadeka hata huwezi kwenda nae mahali maana atakutia aibu.
Wanalia kwa kupokezana, nimecheka sana. Ila ngoja waondoke ndio utagundua amsha amsha yao ndio starehe ya watoto. Ila mimi ningemkata mmoja jicho tu, tayari, shhhhhhh kimya. Nikiamka hapo, mapigo yake afadhali mtalebani na Hezbollah. Hawarudii.My weekend is wacko.
Kuna watoto wazuri wa rafiki yangu watakaa na mimi mpaka katikati ya Nov. ila sijui nisemeje nisionekane wicked aunty ila wamekuja J nne na tayari niko super stressed na Nov. naiona mbali sana
Stress zilianzia kwa jinsi mtoto wangu hataki ku share Tv yake na wenzie sbb wenzie ni wadogo na vitu wanavyopenda kuangalia ni tofauti.
Nikatoa amri waangalie kwa kupokezana ila haikusaidia watoto coz bado hao madogo wageni mmoja wa kike wawili wa kiume.Vitu anavyopenda kuangalia wa kike hivi vijamaa viwili havipendi fulu kugombana.
Yaani ni mashitaka kila dakika.Huyu wa kwangu analalamika madogo wanaharibu vitu chumbani kwake na madogo wanalalamika kaka anawapiga na kuwafukuza chumbani kwake wasiangalie Tv.
Nikasema hizi stress zitaisha kila mtoto akiwa na tv chumbani kwake,nikatuma mtu akaninunulie Tv ndogo 4,zikaja zikafungwa kila mtu akafurahi nami nikasema nitapumua sasa ila nimejidanganya😃😃.eti baada ya kila mtu kupata Tv yake na interest ya kuangalia Tv ikaisha.Yaani madogo hawana muda na hizo Tv.Hela zangu zimepotea bure😭😭.
Hao wawili wa kiume ni mapacha wako very smart ila ni WATUNDU sana.Wamekaa siku mbili tu ila wameshaharibu vitu vingi halafu sasa vikiharibu kitu ukifoka unasikia “aunty you don’t look cute when you are angry” au “my daddy will buy you another one”
Leo asubuhi hivi vi twins vimefanya kitu cha hatari sana nikawatisha kuwa leo nawachapeni,nikaagiza niletewe fimbo mbili kubwa.Kumbe watoto wa watu hawajawaji kuchapwa wala kutishiwa fimbo.Kale ka kike kananiambia “aunty ukiwachapa baba yangu atakuchapa na wewe maana baba kasema mama akituchapa atamchapa na yeye” nikamwambia mimi simuogopi baba yako na fimbo zikija nawachapa kaka zako.
Fimbo zimefika ile watoto wanaziona tu waliteteeka hadi kamoja kakajikojolea na kengine kakatapika kwa panic.Nilishangaa sana maana mie wa kwngu keshakula sana mikwqju.Sasa nikajiuliza hata shule havichapwi hadi vitetemeke vile!
Ikabidi niache mkwara nianze kuvibembeleza na kutupa fimbo.Kale kakike kalivyoona nimetupq fimbo kakanimbia “usingenisikiliza baba yangu angekumaliza”
Huwezi kuamini hawa watoto eti kutishiwa fimbo tu wamelia zaidi ya masaa mawili.Na wanalia kwa kupokezana,huyu akinyamaza ukisema sasa wamenyamaza unashangaa mwengine kapokea .
Nimebembeleza nimechoka hadi na mim nikaingia chumbani kwangu kulia.Watoto hawa sijui baba yao uchumi ukiyumba itakuwaje coz wakitaka kitu lazima wapate la sivyo atalia siku nzima.Akitaka pizza kwa aman yako utahakikisha pizza imefika.Naona ajabu sbb mwanangu nikisema leo ni chai na kiporo cha ubwabwa kanakula.Mwanangu nikisema hata chai na ugali atakula with a smile on his face.Asubuhi ya kwanza the way vilitupelekesha ningekua na sukari ingepanda.Bodaboda walikua wanapishana getini kwetu coz kila tunachotumia sisi kwa breakfast walivikataa na kila kinacholetwa anakwambia sio hiyo ana favorite yake na lazima apate hiyo,unamrudisha boda ikija brand tofaut hali na hapo wako watatu na kila mmoja ana favorite yake.Ukisema uvikazie vitoto vya watu vitashinda njaa nafsi inakataa basi ni kuhangaika hadi kila mmoja apate anachotaka.
Hivi wazazi mnaodekeza watoto wenu faida ni ipi?
Mna upendo sana kushinda sisi wengine au?
wakitoka kwako walete kwangu wakutane na mama mwenyenyumba wangu! asubuhi hii tu wanakutana na chai ya rangi na viazi vitamu kwa dharura kwakuwa wageni wamekuja tutajikaza japo mayai yanaweza kuwepo.My weekend is wacko.

Vizuri sana 🙏Kabisa mkuu.
Watoto wanaendelea vizuri .asante.
Tunaanza kuzoeana sasa