mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Mnasema sisi gen z ni wabaya...
Hawa gen a wa 2013+ watawanyoosha mno.
Hawa gen a wa 2013+ watawanyoosha mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
navibembeleza navipa sh 200😁😁 hivi ukifinya nahisi vizalia hadi viishiwe maji mwilini.
Omba kukaa nao kwa muda kidogo walao uwarudishe kwenye mstari, kuna methali inayosema mchuma janga hula na wa kwao.Honestly,nawaonea huruma sana hawa watoto.
Sijawahi ona watoto wamedekezwa kiasi hiki.
Sijui wazazi wenye haya malezi huwa wanawaza nini?
Siwezi kuwarudisha hadi wazazi wao warudi,wamesafiri nje ya Tz na mimi mwenyewe ndo nilisema waletwe kwangu coz navipenda ila nimejua hawa inabidi mapenz ya mbalimbal,wakichukuliwa sitarudia tena kuvichukuaWarudishe kwa wazazi wao, malezi mabaya ya wengine, tabu upatee wee, Lol
Thanks kwa ushauri dear.Hawana shida utwajulia tu nikupe triki nzuri ,ni hii wape vitu wafanyee. Uza tv pesa hizo zitumie kwa kuwapa wafanye vitu wawe busy ila huwapi
Watazoea na wataacha kutapika.Sasa mkuu vitoto kuona tu fimbo vinatapika ukifinya si kanaweza kuzimia kwa mshtuko😁.
Mi naombea tu siku ziishe virudi kwao