MZAHA: Wema kuanzisha kituo cha redio, Feb 2017

usishangae akifungua page ya youtube akadai ndio redio
 

Ila ta.ko lake halipotei.. hiyo ndio asset kubwa mujini, anaongea hivyo sbb t.ako bado lipo.. give her 3 years from now.. hutamsikia ng'ooo
 
nadhani ni wakati sahihi kwa nyie wapambe zake kumwambie watu tumemchoka tangu 2006, kaja na vitu kibao hakuna hata kinacho survive , pia kwa sasa aanze kufanya vitu kimya kimya , wenye pesa hufanya vitu vyao kimya , wasio na pesa hupenda kutangaza na kutaka waonekane, jifunze kwa jaqcline tuyabaliwe .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna moja ilimhusu Joyce Kiria, hii kwangu nai rate namba 1, ikifuatiwa na ya Baba Swalehe 1, jamaa ni mbayaaaa!

 
Huyu dada ameathiriwa na u maarufu, hakubali kushuka.angetulia tu afanye yake tuyaone tofauti na hapo naona ni bla blah tu.
 
Afu anavyojikaushaga sasa. Yani anavyoflow unaweza hisi ni issue ya kweli kabisa teh
Ninadhani anafanya ka research kwanza kabla ya kuandika, vitu vinafanana na ukweli, ninakumbuka suit ya Trump kushonwa na Sheria Ngowi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…