MZAHA: Wema kuanzisha kituo cha redio, Feb 2017

Mipango si matumizi, mbona alisema ujauzito ila hadi leo tunausubiri
 
Mkuu umesahau na Champali zake alizozizindua na Vigoma...!
 
Ni rahisi sana kwa yeye kupandwa na wanaume wa kila aina, upande wa kufungua station yake tumsubirie inawezekana pia ikawa rahisi kufungua maana unaweza kuta kabarikiwa pande zote...yaani mashariki, magharibi, kusini na kaskazini!
 
Ahahahahaaaaaaaa da msaga sumu huwa anawapoteza sana maboya
 
2017 mwaka wa MABADILIKO ya ukweli.
 
Kaishia kufugua kiduka uchwara cha vinguo vya mitumba iliyofuliwa pale Mwananyamala komakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…