Mzalendo wa nchi yetu ajitokeza na kuwakemea CHADEMA

Na Mbowe nae alipe madeni yake
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Kwani Rais mpya akiingia huwa ana rithi mkeo? Akili za kijinga sana hizi
 
Huyu ni Pimbi siyo Nyumbu ila tabia zao zinashabihiana.
 
Nyie akili zenu ziko kwenye tundu za kinyesi. Lissu ama Mtu mmoja ni kitu gani mbele ya Taifa. Mnafurahia Ndege kuzuiwa, hamjui kuwa kesho huyu Lissu wenu akibahatika kuwa Raisi, anarithi madeni yote ya serekali ya awamu iliyopita.
Kwa hiyo tufanyeje? Tulieni dawa ipenye
 
Waje kukamata na stiglazi goji kabisa, wagum sana kulipa madeni nyie kijani
 
Lakini si mnasema ni ndege za magufuli? Hizo ni kauli zenu wenyewe huyo kawakumbusha tu
Mkuu ni wapuuzi tu.

Ana mazuri yake ana mabaya yake JPM.

Chuki binafsi iwe za kikanda au kidini na kichama zimo ndani ya vifua vya wapuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…