PeterwaPerer
Member
- Sep 12, 2024
- 41
- 63
Nani kakwambia madrasa wanafundisha masuala ya waarabu
Kumbe upo serious😂😂.Sasa uliyotaka kunitupia ungeyatoa wapi
Khaa! Nilianza kukusomea rozali ili majini yakurudie.
Sir Jeff yule anayelia lia X ndio huyo?Nimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.
Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.
Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto
Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''
Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Google Dagon the fish god symbol angalia picha zake then jiulize rozali Kama inafanya kazai tofauti na msaafu 😂😂Khaa! Nilianza kukusomea rozali ili majini yakurudie.
Pamesemwa imeteremshwa kwa lugha ya kiarabu.Uislamu ni dini ya waarabu hata Quran imethibitisha hilo kwenye Surat Yusufu
" Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu.
Pamesemwa imeteremshwa kwa lugha ya kiarabu.
Wapi wamesema ni dini ya waarabu
Wapi wamesema lugha yenuNeno lugha yenu linaamisha nini?
Nakuongeza aya ya sura nyingine
ayat 7 from Surah Ash_shuraa
﴿وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ﴾
[ الشورى: 7]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
Wapi wamesema lugha yenu
Huwa siangalii huko X.Sir Jeff yule anayelia lia X ndio huyo?
Nani kakufundisha kiarabu au hiyo tafsiri umeitoa wapiaya ya 2 ya Surat Yusufu. Inasema hivi
" Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu
Kwani akimpeleka kuchapwa? Mfundishe mtoto. Mambo yamebadilika sanaUmeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Hii tafsiri ipo kwenye Quran zote zilizotafsiriwa kiswahili.. kama unabisha leta screen shot ya hii aya kutoka kwenye quran yoyote ya kiswahili tuone kama hakuna neno lugha yenu ya kiarabuNani kakufundisha kiarabu au hiyo tafsiri umeitoa wapi
"Qur'anan arabiyya" maana yake ni "ya lugha ya kiarabu" Na si kwa lugha yenu ya kiarabu
Nani kakwambia madrasa wanafundisha masuala ya waarabu
Sayansi na teknologia bila kumjua Mungu haitakusaidia chichote. Mnaona jamii za hao waliopiga hatua kimaendeleo zinavyoporomoka kimaadili. Ndo mtaletewa ushoga mtasema "tumepokea"Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Hilo linafanyika na ni kawaida kwenye shule za bweni watoto kurudi darasani baada ya mlo wa jioni mpaka saa 4 ucku. Mbona hujalipigia kelele? Kwa vile ni secular? Tatizo la wao kurudi shule mda huo linasababishwa a mfumo wa upande wa pili ulioingizwa mashuleni ili watoto wa kiislamu wasipate kuhudhuria masomo ya kiimani! Ni mpango wenu huo. Kawaida muda rasmi ulioruhusiwa kutoa wanafunzi kurudi nyumbani na wizara ni saa nane na nusu. Nani aliyeongeza muda? Ni upande wa pili hasa shule za mrengo huoMtaani kwetu wengi ni waislamu
Watoto wanatoka shule saa 11 au 12 wanakula wanaenda madrasa kurudi saa 4 usiku. Kesho tena wanaamka saa 11 ili saa 12 wawe shule.