Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Nani kakwambia madrasa wanafundisha masuala ya waarabu

Uislamu ni dini ya waarabu hata Quran imethibitisha hilo kwenye aya ya 2 ya Surat Yusufu. Inasema hivi

" Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu.

Pia aya ya 7 ya Surah Ash_shuraa inasema hivi
﴿وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ الشورى: 7]

Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.​

Nimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.

Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.

Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto

Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''

Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Sir Jeff yule anayelia lia X ndio huyo?
 
Uislamu ni dini ya waarabu hata Quran imethibitisha hilo kwenye Surat Yusufu

" Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu.
Pamesemwa imeteremshwa kwa lugha ya kiarabu.
Wapi wamesema ni dini ya waarabu
 
Pamesemwa imeteremshwa kwa lugha ya kiarabu.
Wapi wamesema ni dini ya waarabu

Neno lugha yenu linaamisha nini?

Nakuongeza aya ya sura nyingine

ayat 7 from Surah Ash_shuraa
﴿وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ الشورى: 7]

Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.​

Neno lugha yenu linaamisha nini?

Nakuongeza aya ya sura nyingine

ayat 7 from Surah Ash_shuraa
﴿وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
[ الشورى: 7]

Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.​

Wapi wamesema lugha yenu
 
aya ya 2 ya Surat Yusufu. Inasema hivi

" Hakika Sisi tumemteremshia Mtume wetu haya maneno kwa lugha yenu ya Kiarabu yasomwe na yahifadhiwe, ili muyafahamu
Nani kakufundisha kiarabu au hiyo tafsiri umeitoa wapi
"Qur'anan arabiyya" maana yake ni "ya lugha ya kiarabu" Na si kwa lugha yenu ya kiarabu
 
Ila maostaaadh wanatoa vichapo heavy heavy punda mwenyewe haingii, siku moja nilikua kwenye vibarua vyangu huko Tanga kuna sehemu inaitwa Mwahako,

Majira ya jioni hivi nikawa napita karibu na msikiti aiseee, ostaadh alimwaga bakora kama njugu ni shwaaaaah shwaàaaaaah vitako vya madogo vinatoa miliooo pwaaah pwaaah pwaaaah aisee maostaadh kwa bakora
 
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.

Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.

Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.

Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .

Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.

Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.

Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.

View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

Kwani akimpeleka kuchapwa? Mfundishe mtoto. Mambo yamebadilika sana
 
Nani kakufundisha kiarabu au hiyo tafsiri umeitoa wapi
"Qur'anan arabiyya" maana yake ni "ya lugha ya kiarabu" Na si kwa lugha yenu ya kiarabu
Hii tafsiri ipo kwenye Quran zote zilizotafsiriwa kiswahili.. kama unabisha leta screen shot ya hii aya kutoka kwenye quran yoyote ya kiswahili tuone kama hakuna neno lugha yenu ya kiarabu

Screenshot_20250219-214324_1.jpg
 
Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Sayansi na teknologia bila kumjua Mungu haitakusaidia chichote. Mnaona jamii za hao waliopiga hatua kimaendeleo zinavyoporomoka kimaadili. Ndo mtaletewa ushoga mtasema "tumepokea"
 
H
Mtaani kwetu wengi ni waislamu
Watoto wanatoka shule saa 11 au 12 wanakula wanaenda madrasa kurudi saa 4 usiku. Kesho tena wanaamka saa 11 ili saa 12 wawe shule.
Hilo linafanyika na ni kawaida kwenye shule za bweni watoto kurudi darasani baada ya mlo wa jioni mpaka saa 4 ucku. Mbona hujalipigia kelele? Kwa vile ni secular? Tatizo la wao kurudi shule mda huo linasababishwa a mfumo wa upande wa pili ulioingizwa mashuleni ili watoto wa kiislamu wasipate kuhudhuria masomo ya kiimani! Ni mpango wenu huo. Kawaida muda rasmi ulioruhusiwa kutoa wanafunzi kurudi nyumbani na wizara ni saa nane na nusu. Nani aliyeongeza muda? Ni upande wa pili hasa shule za mrengo huo
 
Back
Top Bottom