Una akili kisoda sana....Mmegundua nini au kitu gani mmefanya huko oman kwenye ulimwengu huu wa science na technology ukiachana na chant za death to israel😂
Sasa hiyo si inaelezewa kwa mtu aliyekosa maji na yupo mbali na vyanzo vya majiHabari ya kuchamba kwa mchanga huko Jangwani inamsaidia nini Msukuma ambaye anaishi kando kando ya Lake Victoria.Hayo mafundisho ya aina hii yanamsaidia zaidi MWARABU wa Jangwani.
Kama wakigoma kuchapwa? Na wakasema hawaitaki hiyo dini yako, unafanyaje?Kila dini ina mwongozo wake na si hisia tu za watu.....
Dini yangu inaniongoza kiimani kuchapa VIBOKO watoto wangu wasiotaka kuswali pale wanapofikisha miaka 10......
Dunia hii ambayo muisrael anaombewa kiyama na ummah wa kiarabu/waislamu? Sheikh wa wapi wewe 😂Una akili kisoda sana....
Hujifunzi kuijua dunia....
Hivi lini Oman waliandamana na hizo "death upon Israel" ?!!
Sijui pia mkuuAkili zenyewe hawana, sijui kwanini wavaa kobazi 10 mwenye akili darasani utakuta ni mmoja au hamna kabisa.
Usinivundumkie hapa....Kwenye imani kuchapa bakora kumbe ruksa? Tupe aya moya hapo
Mimi ni muislam na siwaombei kiama waisrael.....Dunia hii ambayo muisrael anaombewa kiyama na ummah wa kiarabu/waislamu? Sheikh wa wapi wewe 😂
Upo kwenye siku zako ?Akili zenyewe hawana, sijui kwanini wavaa kobazi 10 mwenye akili darasani utakuta ni mmoja au hamna kabisa.
Jitahidi uwe na akili ,sawa ?!!Kama wakigoma kuchapwa? Na wakasema hawaitaki hiyo dini yako, unafanyaje?
Maisha ni magumu na yana adhabu kali na za kikatili zaidi ya hivyo VIBOKO.....Mzazi yupo sahihi kabisa
ngoja nikuambieNimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.
Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.
Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto
Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''
Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Yaan Nawewe ulivyo zwazwa boyaa kuja na tahira , unalinganisha Utashi wa mwanadam, na Mnyama asiye na utashi .Nimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.
Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.
Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto
Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''
Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Kwa hiyo wasichana wengi wa kazi kutoka Iringa ni waislamu ?!!alafu mwisho wa siku wanakuwa dada wakazi kwa waarabu na wahindi.
Salalehi wa salim."Salalee salim "ndio nini ?!!
Maisha bila muongozo utapoteaHuyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Kivipi?Yaan Nawewe ulivyo zwazwa boyaa kuja na tahira , unalinganisha Utashi wa mwanadam, na Mnyama asiye na utashi .
Hiyo Ulaya ya kizazi Cha 1900 ,ilijengwa na kizazi imara na madhubuti miaka mingi ilopita.
Wee ni Jinga kuu.
Ndio nini ?!!Salalehi wa salim.