Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Habari ya kuchamba kwa mchanga huko Jangwani inamsaidia nini Msukuma ambaye anaishi kando kando ya Lake Victoria.Hayo mafundisho ya aina hii yanamsaidia zaidi MWARABU wa Jangwani.
Sasa hiyo si inaelezewa kwa mtu aliyekosa maji na yupo mbali na vyanzo vya maji
Na ni mawe sio mchanga
 
Nimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.

Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.

Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto

Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''

Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
ngoja nikuambie

ULAYA
ASIA
AMERICA
AUSTARIA
AFRICA

kila bara lina tamaduni zake
na katika hayo mabara kila nchi ina TAMADUNI zake

ni UJINGA na UKOSEFU wa akili kulinganisha TAMADUNI za ULAYA NA AFRICA au TANZANIA

labda nikuulize
wewe hapo unaweza kwenda beach
ikawa wewe dadaako mamaako babaako na baba mkwewako mkewako/mmewako na watoto wako mkbaki na chupi babaakwe boxer mkawa mnaogelea linawezekana kwako
bila shaka haiwezekani sio kwako ni kwa karibu 98% ya watanzania haiwezekani kutokana na TAMADUNI zetu
lakini kwa ULAYA 100% Inawezekana kutokana na tamaduni zao

hvyo TAMBUA tamaduni za eneo husika na kuziheshimu

mfano CHINA kuna majinbo mtu akipata AJARI na chombo cha moto barabarani huruhusiwi kumsaidia chochote unachotakiwa upige simu mamlaka waje kumsaidia hata km yupo kattika state ya kufa
lakini kwa watanzania hilo haliwezekani 7bu tumeritji tamaduni za kusaidiana kutoka kwa wazazi ndio mana unapoona kumetokea ajari watu wanakuwa faster kusaidia
 
Nimeshtuka sana mkuu, nilidhani unatetea viboko vya madurasa.

Mleta mada anasumbuliwa na ujinga tu. Viboko siyo njia pekee ya kumlea mtoto.

Viboko ni adhabu ya kipumbavu isiyo na faida yeyote kwa mtoto

Sirjeff Denis, al maarufu ONTARIO ana msemo wake anapenda kuuliza,
''Ni mnyama gani, ukitoa Muafrika, huwa anamuadhibu mtoto wake kwa viboko?''

Mimi sijui, labda Mwarabu na Muhindi, lakini Ulaya hakunaga viboko kwa watoto.
Yaan Nawewe ulivyo zwazwa boyaa kuja na tahira , unalinganisha Utashi wa mwanadam, na Mnyama asiye na utashi .

Hiyo Ulaya ya kizazi Cha 1900 ,ilijengwa na kizazi imara na madhubuti miaka mingi ilopita.

Wee ni Jinga kuu.
 
Kivipi?
 
Back
Top Bottom