Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mpaka nimepaliwa
 
Uko Sahihi mkuu naunga mkono hoja asilimia 1000, Allah amnusuru.
 
Ifike wakati kila mtu aleee watoto wake hadi kuwafundisha maan ktk jamii tunatofautiana kifikra, mtazamo, imani na malezi. Km hutaki mwanao achapwe viboko kwa sababu zako binafsi au sababu ya usasa hasa utandawazi, ni vizuri ulee na kumfundisha elimu dunia mwenyewe km unadhani ni rahisi hasa km mtoto atakua amechukua umbumbumbu wa mzazi mmojawapo.

Km unataka mwanao apate elimu kwa namna yoyote ile, iwe kwa maumivu au starehe basi mpeleke mwanao shule.

Siwatetei walimu, ila mimi ni mzazi ninajua vyema jinsi watoto wa sasa walivyopasua kichwa. Hawana haibu wala adabu. Wakiwa nyumbani baadhi yao hujifanya wema sana lakini wakifika shuleni ni vurugu mechi, ila mzazi goigoi na asiejua maana hata ukimueleza hatajua maana.

Nawapa pole sana walimu wa sasa maana wanafundisha watoto wa kihuni waliotoka kwa wazazi wahuni ndo maana wanalalamikiwa. Watoto wao wakiachwa wafanye wanachotaka hatimae wakifeli wanawatupia tena walimu lawama.

Enzi zetu hata kusema tu nyumbani kuwa nimechapwa na mwalimiu ulikuwa hauwezi maana kitendo tu chakusema ulikuwa unachapwa zingine za kukutosha mwezi au mwaka mzima. Mwanafunzi ulikuwa ukiskia kuwa mwalimiu kapita nyumbani kwenu hata km ilikuwa kwa ajili ya kusalimia labda anafahamiana na mzazi wako, ulikuwa unapata mchafuko wa tupo gafla maan kuna kuwa na hisia kuwa huenda mwalimu kamuelezea baba yako utundu na tabia zako zote unapokuwa shule. Siyo kwamba wazazi wetu walikuwa wajinga, la hasha, walikuwa na akili sana kuliko kizazi hiki cha Bongo Flavour. Walijua nini maana ya mwalimu na umuhimu wake ktk jamii. Na ndiyo maana mwalimu aliheshimika sana popote aliopopita. Lakini leo mwalimiu anachukuliwa na wanafunzi na wazazi km MSHIKAJI. Hatari sn hii.

Kweli bora ufadhili mbuzi utakunywa mchuzi, siyo mwanadamu.

Nimemaliza: BANDOKITITA said
 
Ishu siyo tamaduni zako, suala ni kuangalia faida na hasara za hizo tamaduni.

Unataka kusema hata kama umeshagundua tamaduni zako ni za kipumbavu unatakiwa kuziheshimu tu kwa kuwa ni tamaduni zako?
 

Nilicho gundua/ observe kitoto Cha kizungu kipo civilized kuliko an average Africans..

Kitoto Cha kizungu kinakua mature ilinishangaza au wapo genetically civilized...katoto kanaelekezwa Mara moja kanaelewa.

Katoto kakizungu kanaelewa faida na hasara ya Jambo automatically kana behave Kama ka mtu kazima.

Watoto wa uswahilini namaanisha katoto ka kiafrika..
Njoo huku kwetu Sasa unakuta litoto Lina tabia za ajabu linafanya mambo yaliyo lipita umri... imagine mtoto wa darasa la pili ni mwizi wa pesa nyumbani na kwenda kuhonga kitoto chenzakeπŸ˜…πŸ€£

Kitoto kiongo...kitoto kijambazi..kitoto kitapeli..kitoto kinafanya mambo ya kikubwa..kitoto kinatukana matusi mazito mpaka mnabakia na mshangao.
 
Mtume salalei wa salimu.
Anaitwa Mtume Swalallahu Alaihi wasalaam"amani na rehema za mwenyezi Mungu ziwe juu yake ".

Well....

Ndani ya madrassah kunafundishwa masomo mengi na si tu hivyo ulivyozodoa kuwa siku nzima wanaimba "salalei na salim"....

Kunafundishwa haya yafuatayo :
-Malezi na tabia njema
-Quran
-Tafsiri ya Quran
-Fiqh (sheria za dini ,sala ,zakkah ,funga ya ramadhani ,hijjah ,kumpwekesha muumba mbingu na nchi).
-Lugha ya kiarabu ,nahau ,balagha ,mantiki(logic)
-Maisha ya mitume wote na familia zao
-Falsafa na mengineyo.

Usiwe mjinga , sawa?!!
 
Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umenena vema
 
Waislamu na wakristo ni kama Simba na Yanga🀣
Si wakristo wote na si waislamu wote....

Uyanga na usimba wa hao waislamu na wakristo UNAOTAKA kuwasema utaukuta katika mfanano huu ufuatao :
-Wasiostaarabika (uncivilized).
-Akili ndogo za kuzaliwa
-Elimu ndogo
-Childhood abuse iliyopelekea POST TRAUMATIC STRESS DISORDER.
-Mijitu ya mbango mbango tu

Wewe chunguza hata kama wamesoma na kuwa na vipato vikubwa huwa si SMART....
 
mnawachapa watoto bure yale majongoo hata mimi mtu mzima ukianza nifunza leo itanichukua karne nzima kuyaelewa, .. mbaya zaidi yanaanzia kulia kuja kushoto wakati huohuo shuleni kwao ni vice versa hasa kwa nini mtoto dish lisicheze
😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…