oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Vipi wagalatia wana akili?Akili zenyewe hawana, sijui kwanini wavaa kobazi 10 mwenye akili darasani utakuta ni mmoja au hamna kabisa.
Hizi sio jumbe nilitegemea kwako,ila kwakua wewe unaona ni Sawa nimepokea mjomba wangu.Umeshajifungua Kwa uchungu mara ngapi?
Siku ukiongezekewa akili kama itatokea tafadhali nijulishe ,sawa ?!!mnawachapa watoto bure yale majongoo hata mimi mtu mzima ukianza nifunza leo itanichukua karne nzima kuyaelewa, .. mbaya zaidi yanaanzia kulia kuja kushoto wakati huohuo shuleni kwao ni vice versa hasa kwa nini mtoto dish lisicheze
Sawa.Anaitwa Mtume Swalallahu Alaihi wasalaam"amani na rehema za mwenyezi Mungu ziwe juu yake ".
Well....
Ndani ya madrassah kunafundishwa masomo mengi na si tu hivyo ulivyozodoa kuwa siku nzima wanaimba "salalei na salim"....
Kunafundishwa haya yafuatayo :
-Malezi na tabia njema
-Quran
-Tafsiri ya Quran
-Fiqh (sheria za dini ,sala ,zakkah ,funga ya ramadhani ,hijjah ,kumpwekesha muumba mbingu na nchi).
-Lugha ya kiarabu ,nahau ,balagha ,mantiki(logic)
-Maisha ya mitume wote na familia zao
-Falsafa na mengineyo.
Usiwe mjinga , sawa?!!
Sorry mkuu nmekengeuka ila fimbo na mikononi bila kudhuru sehemu nyingine za mwili ni kitu Cha kawaida ila kama angekuwa anapiga kichwani tumboni na sehemu nyingine tofauti na mikononi ingekuwa big issueHizi sio jumbe nilitegemea kwako,ila kwakua wewe unaona ni Sawa nimepokea mjomba wangu.
Mchanga,Mawe........Sasa hiyo si inaelezewa kwa mtu aliyekosa maji na yupo mbali na vyanzo vya maji
Na ni mawe sio mchanga
Wewe ni nani mpaka utuamrishe ?!! Ha ha haSawa.
Ila muache kutandika watoto viboko.
..................Mchanga,Mawe........
Sorry mkuu nmekengeuka ila fimbo na mikononi bila kudhuru sehemu nyingine za mwili ni kitu Cha kawaida ila kama angekuwa anapiga kichwani tumboni na sehemu nyingine tofauti na mikononi ingekuwa big issue
nitajie hasara 10 za hilo jambo na kisha nitajie faida 2Ishu siyo tamaduni zako, suala ni kuangalia faida na hasara za hizo tamaduni.
Unataka kusema hata kama umeshagundua tamaduni zako ni za kipumbavu unatakiwa kuziheshimu tu kwa kuwa ni tamaduni zako?
Na we nae umepotea njia,hivi wajua mtu bila kupata kwanza tiba ya kiroho,hizo elimu dunia zinakosa maadili!?,nakupoteza mwelekeo?Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Okay sawa kweli ustadhi katumia nguvu kidogoMimi pia Naona kuwachapa watoto ni Sawa,kwa kuangalia tu hao watoto wamechelewa kuja madrasa.
Ila ametumia nguvu nyingi sana kuchapa hao watoto na idadi ni kubwa.
Hayo ni yangu,wanangu pia huwa nawachapa nyumbani.
We nae akili huna hebrew ni kwa ajili ya wayahudi ni lugha waliozaliwa nayo wakakuwa nayo kwahy wanaielewa, kiarabu ni kwa ajili ya arabs ni lugha waliozaliwa nayo wakakuwa nayo hivyo wanaielewa wanaisoma mashuleni kwenye elimu dunia na ndo hiyohiyo wanaikuta madrasa tofauti na sisi huku ndo maana watoto hawaelewi wanaishia kupewa adhabu tuSiku ukiongezekewa akili kama itatokea tafadhali nijulishe ,sawa ?!!
Wayahudi wana lugha iitwayo "Hebrew" nayo pia ni "majongoo" ianzayo kutoka KULIA kwenda KUSHOTO kama kiarabu cha Madrassah.....ila WAYAHUDI ni miongoni mwa watu wenye AKILI SANA duniani na ni watu waliobarikiwa sana na Mwenyezi Mungu....
Naam ni kawaida hiyoMtaani kwetu wengi ni waislamu
Watoto wanatoka shule saa 11 au 12 wanakula wanaenda madrasa kurudi saa 4 usiku. Kesho tena wanaamka saa 11 ili saa 12 wawe shule.
wanafundiha Karate,kuvaa kobazi,kuvaa sufuria vichwani na kuvaa vpande vya suruali .Kwani huko madrasssa mnafundishana nini cha muhimu kama sio ujinga jinga.
Usless kabisa nyie watu.