Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

mnawachapa watoto bure yale majongoo hata mimi mtu mzima ukianza nifunza leo itanichukua karne nzima kuyaelewa, .. mbaya zaidi yanaanzia kulia kuja kushoto wakati huohuo shuleni kwao ni vice versa hasa kwa nini mtoto dish lisicheze
Siku ukiongezekewa akili kama itatokea tafadhali nijulishe ,sawa ?!!

Wayahudi wana lugha iitwayo "Hebrew" nayo pia ni "majongoo" ianzayo kutoka KULIA kwenda KUSHOTO kama kiarabu cha Madrassah.....ila WAYAHUDI ni miongoni mwa watu wenye AKILI SANA duniani na ni watu waliobarikiwa sana na Mwenyezi Mungu....
 
Anaitwa Mtume Swalallahu Alaihi wasalaam"amani na rehema za mwenyezi Mungu ziwe juu yake ".

Well....

Ndani ya madrassah kunafundishwa masomo mengi na si tu hivyo ulivyozodoa kuwa siku nzima wanaimba "salalei na salim"....

Kunafundishwa haya yafuatayo :
-Malezi na tabia njema
-Quran
-Tafsiri ya Quran
-Fiqh (sheria za dini ,sala ,zakkah ,funga ya ramadhani ,hijjah ,kumpwekesha muumba mbingu na nchi).
-Lugha ya kiarabu ,nahau ,balagha ,mantiki(logic)
-Maisha ya mitume wote na familia zao
-Falsafa na mengineyo.

Usiwe mjinga , sawa?!!
Sawa.

Ila muache kutandika watoto viboko.
 
Viboko ni muhimu sana kwa madrasa ukizingatia na lugha yenyewe ngumu
 
Hizi sio jumbe nilitegemea kwako,ila kwakua wewe unaona ni Sawa nimepokea mjomba wangu.
Sorry mkuu nmekengeuka ila fimbo na mikononi bila kudhuru sehemu nyingine za mwili ni kitu Cha kawaida ila kama angekuwa anapiga kichwani tumboni na sehemu nyingine tofauti na mikononi ingekuwa big issue
 
Sawa.

Ila muache kutandika watoto viboko.
Wewe ni nani mpaka utuamrishe ?!! Ha ha ha

Viboko vya maisha ni vikali ,vya ukatili sana zaidi ya hizo "mboko" shuleni na madrassah....kikubwa tu walimu wajitahidi kujifunza SAIKOLOJIA vyema na kuwa na kiasi katika kutoa adhabu.....

Mimi siachi kuchapa viboko vitoto vyangu ila ninafanya kwa kiasi na kwa "kufundisha zaidi".

Rest easy , the late President John Magufuli ,amen !
 
Sorry mkuu nmekengeuka ila fimbo na mikononi bila kudhuru sehemu nyingine za mwili ni kitu Cha kawaida ila kama angekuwa anapiga kichwani tumboni na sehemu nyingine tofauti na mikononi ingekuwa big issue

Mimi pia Naona kuwachapa watoto ni Sawa,kwa kuangalia tu hao watoto wamechelewa kuja madrasa.

Ila ametumia nguvu nyingi sana kuchapa hao watoto na idadi ni kubwa.

Hayo ni yangu,wanangu pia huwa nawachapa nyumbani.
 
Mtumwa wa imani za kiarabu anatumia mabavu kulazimisha watoto wakariri mambo ya mabwana zake..
Hakika dini ni upuuzi mtupu, hasa kwa muafrika aliyerithishwa mambo yasiyo yake ili anyonywe.
 
Ishu siyo tamaduni zako, suala ni kuangalia faida na hasara za hizo tamaduni.

Unataka kusema hata kama umeshagundua tamaduni zako ni za kipumbavu unatakiwa kuziheshimu tu kwa kuwa ni tamaduni zako?
nitajie hasara 10 za hilo jambo na kisha nitajie faida 2
 
Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Na we nae umepotea njia,hivi wajua mtu bila kupata kwanza tiba ya kiroho,hizo elimu dunia zinakosa maadili!?,nakupoteza mwelekeo?
 
Mimi pia Naona kuwachapa watoto ni Sawa,kwa kuangalia tu hao watoto wamechelewa kuja madrasa.

Ila ametumia nguvu nyingi sana kuchapa hao watoto na idadi ni kubwa.

Hayo ni yangu,wanangu pia huwa nawachapa nyumbani.
Okay sawa kweli ustadhi katumia nguvu kidogo
 
Siku ukiongezekewa akili kama itatokea tafadhali nijulishe ,sawa ?!!

Wayahudi wana lugha iitwayo "Hebrew" nayo pia ni "majongoo" ianzayo kutoka KULIA kwenda KUSHOTO kama kiarabu cha Madrassah.....ila WAYAHUDI ni miongoni mwa watu wenye AKILI SANA duniani na ni watu waliobarikiwa sana na Mwenyezi Mungu....
We nae akili huna hebrew ni kwa ajili ya wayahudi ni lugha waliozaliwa nayo wakakuwa nayo kwahy wanaielewa, kiarabu ni kwa ajili ya arabs ni lugha waliozaliwa nayo wakakuwa nayo hivyo wanaielewa wanaisoma mashuleni kwenye elimu dunia na ndo hiyohiyo wanaikuta madrasa tofauti na sisi huku ndo maana watoto hawaelewi wanaishia kupewa adhabu tu
 
Kwani huko madrasssa mnafundishana nini cha muhimu kama sio ujinga jinga.

Usless kabisa nyie watu.
 
Walimu wa madrassa wanachapa saña..
Nakumbuka mimi nilikua nasoma pale forest ya zamani kwa ostadh idd..
Madrassa ipo mtaa wa pili karibu na mahakama kuu ya mbeya..

Yule shekhe aliwahi nichapa kwa kosa la nyumbani tu tena alinichapa mkononi sio kwenye kiganja.

Mama angu anakuja kutokakea dasalam alinikuta na zile alama , aiseee alilaani sana sana tuu.

Kuna mda mpaka nilichanganyikiwa yaani niliwekeza sana madrassa hadi shule nikasahau nikawa nipo radhi nitoloke vipindi vya jioni ili niwahi madrassa..

Ila yashapita hayo..
Wakuu msifanye elimu ya dini kuwa ngumu hvo...
Picha linaanza lugha ile sio yetu

Kuna sura mtu kukalili kichwani ni kimbembe hasa sisi watu wa bara ambao hatujakulia katika mazingira ya pwani.

Assume unakalilishwa kajuu amma alafu ole wakooo ole wakooo usahau hata zumma tein uone
 
Back
Top Bottom