Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
😄Huyo Mzazi kakosa akili unawaza nini hadi umpeleke mwanao Madrsa !.
Dunia ya leo ni sayansi na technology unawezaje kumpotezea mwanao muda wa kwenda kusoma masuala ya waarabu.
Alama za michirizi , zimefanyaje ?.Vipi kama mtoto alirudi nyumbani akiwa na alama za mchirizi ya fimbo za mwalimu?
Unamaanisha?.Natafuta uiano wa kupigwa na kuelewa.
Kwa wale tuliojaaliwa tuwape watoto wetu vyakula bora vyenye virutubisho, tuwape akinamama vyakula bora vyenye virutubisho wakiwa wajawazito.
Tujitahidi pia kula vyakula bora ili tunapopiga game tutor shahawa zilizoshiba lishe.
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Tofauti ya ukiristo na uislam ni hivi: jukumu la kumsomesha Quran na dini ni la mzee sio mtu mwengine yoyote. Kwa sababu wazee wengi siku hizi wamejikita ktk mipira, siasa na wameacha dini yao ndio wanawapeleka watoto wa kwa watu wengine wanaoitwa walimu. Mwalim ni mwalim hata shule mwalim anatandika bakora.Huyo mwalimu wa madrassa sheria gani ya nchi inamruhusu kuwapa watu kipigo. Ashtakiwe miaka.
Allah akupe qauri Thabeet.Akili zenyewe hawana, sijui kwanini wavaa kobazi 10 mwenye akili darasani utakuta ni mmoja au hamna kabisa.
Amen.Allah akupe qauri Thabeet.
Akujaalie Hikma na rekhma.
Akufnze na kutakasa kinywa chako ewe mkosefu shahatan.
Mpaji Mungu
Ntakupiga Majinn .Amen.
Khaaa! Sasa 'Amen' ni kebehi? Mbona wewe umeniongelesha kiarabu sijasema kebehi?Ntakupiga Majinn .
Sipendi kebehi Mimi😤
Waaaapi umeona kiarabu binti ?Khaaa! Sasa 'Amen' ni kebehi? Mbona wewe umeniongelesha kiarabu sijasema kebehi?
😂😂😂Tareeq kama mtu vileAllah akupe qauri Thabeet.
Akujaalie Hikma na rekhma.
Akufnze na kutakasa kinywa chako ewe mkosefu shahatan.
Mpaji Mungu
Leo najiskia kurusha majini kupitia reply .....Salumu leo acha kabisa.😂😂😂Tareeq kama mtu vile
Mimi hunitishiLeo najiskia kurusha majini kupitia reply .....Salumu leo acha kabisa.
Haya maelimu ya mwarabu ya kukaririshwa watoto kwa viboko ni mifumo wa ELIMU wa hovyo na WA kizamani uliopitwa na wakati. Unafanana na wale wazee waliokuwa wanakariri biology kwa kuweka miguu kwenye maji. Mtoto anatakiwa aelewe na sio kukariri na adhabu ya viboko imeshafutwa kote duniani ni mwarabu tuu na midevu yake ameingangania. Mzazi yupo sahihi aalimpeleka mtoto wake kufunzwa dini na sio kumwadhibu.Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Ntakupiga kunuti Moja hiyo hee jichanganye.Mimi hunitishi
Kumbe wanafundisha vitu gani tofauti na maandishi na lugha, na tamaduni za mwarabu?Nani kakwambia madrasa wanafundisha masuala ya waarabu
Kipindi hiko advance nlizinguaga shule nkawa suspended mzee kuninyoosha akanipeleka shule Moja hivi ya kiislamu, huko kulikua na sheria kali kinoma afu msos tukawa hatushibi...siku Moja night wanafunzi wakiwa tarawheeeh jamaangu aliingia jikoni anakula ukoko alipigwa Kofi na hayo majini alikata kauli siku mbili😂ndo nkajua Kuna muda hayo madude yapoLeo najiskia kurusha majini kupitia reply .....Salumu leo acha kabisa.