Mzazi alomfikisha Mahakaman Mwl Madrasa Kwa kosa la kuchapa watoto, akemewe popote pale anapoonekana na ikiwezekana Jamii imchukulie hatua

Natafuta uiano wa kupigwa na kuelewa.
Kwa wale tuliojaaliwa tuwape watoto wetu vyakula bora vyenye virutubisho, tuwape akinamama vyakula bora vyenye virutubisho wakiwa wajawazito.

Tujitahidi pia kula vyakula bora ili tunapopiga game tutor shahawa zilizoshiba lishe.
 
Unamaanisha?.
 
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.

Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.

Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.

Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .

Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.

Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.

Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.

View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

View: https://x.com/Shariakill/status/1892251200491241850
 
Huyo mwalimu wa madrassa sheria gani ya nchi inamruhusu kuwapa watu kipigo. Ashtakiwe miaka.
Tofauti ya ukiristo na uislam ni hivi: jukumu la kumsomesha Quran na dini ni la mzee sio mtu mwengine yoyote. Kwa sababu wazee wengi siku hizi wamejikita ktk mipira, siasa na wameacha dini yao ndio wanawapeleka watoto wa kwa watu wengine wanaoitwa walimu. Mwalim ni mwalim hata shule mwalim anatandika bakora.
 
Kuna mwalimu wangu alitusomeaga bible kuna sehemu iliandikwa "msiwanyime watoto wenu mapigo"
 
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.

Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.

Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.

Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .

Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.

Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.

Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.

View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

Haya maelimu ya mwarabu ya kukaririshwa watoto kwa viboko ni mifumo wa ELIMU wa hovyo na WA kizamani uliopitwa na wakati. Unafanana na wale wazee waliokuwa wanakariri biology kwa kuweka miguu kwenye maji. Mtoto anatakiwa aelewe na sio kukariri na adhabu ya viboko imeshafutwa kote duniani ni mwarabu tuu na midevu yake ameingangania. Mzazi yupo sahihi aalimpeleka mtoto wake kufunzwa dini na sio kumwadhibu.
 
Leo najiskia kurusha majini kupitia reply .....Salumu leo acha kabisa.
Kipindi hiko advance nlizinguaga shule nkawa suspended mzee kuninyoosha akanipeleka shule Moja hivi ya kiislamu, huko kulikua na sheria kali kinoma afu msos tukawa hatushibi...siku Moja night wanafunzi wakiwa tarawheeeh jamaangu aliingia jikoni anakula ukoko alipigwa Kofi na hayo majini alikata kauli siku mbili😂ndo nkajua Kuna muda hayo madude yapo
 
Back
Top Bottom