Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Duuu!yeah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu!yeah
Ni lugha gongana kwelikweli maana kusoma na kuandika Kwa kuanzia kulia kwenda kushoto ni taabu sanaaLugha gongana.
Kupiga sana mtoto haimzuii kuwa jambazi au shoga.Dah hayajakukuta bado,nyinyi ndio aina ya watu mnaoharibu watoto kwa kigezo cha uhuru na demokrasia mwisho wa siku mtoto akishahama nyumbani kwako anaenda kuwa jambazi au shoga huku mzazi bado unakenua meno tu
Mchanga,Mawe........
Hakika...Dah hayajakukuta bado,nyinyi ndio aina ya watu mnaoharibu watoto kwa kigezo cha uhuru na demokrasia mwisho wa siku mtoto akishahama nyumbani kwako anaenda kuwa jambazi au shoga huku mzazi bado unakenua meno tu
Wayahudi kwao si taabu kwa kuwa HEBREW ni kama kiarabu,jamaa wamebarikiwa akili nyingi sana na Mwenyezi Mungu....Ni lugha gongana kwelikweli maana kusoma na kuandika Kwa kuanzia kulia kwenda kushoto ni taabu sanaa
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5

Sisi ni waafrika mkuu....Kupiga sana mtoto haimzuii kuwa jambazi au shoga.
Kupiga mtoto ni ufinyu wa kufikiri, na ukosefu wa maarifa ya malezi, kwa kudhani kuwa hakuna namna nyingine ya kumfanya mtoto afuate unachotaka.
Halafu ni muhimu uelewe kuwa mtoto siyo lazima afuate unachotaka.
Unaweza kufuata anachotaka yeye, hapa napo najua utashangaa!
matokeo yake wanafeli elimu dunia afu wanasingizia wakristo wanapendelewa marks mitihani, kumbe vitoto havipumziki na hekaheka akili hazipumziki hadi vinachanganyikiwa.Mtaani kwetu wengi ni waislamu
Watoto wanatoka shule saa 11 au 12 wanakula wanaenda madrasa kurudi saa 4 usiku. Kesho tena wanaamka saa 11 ili saa 12 wawe shule.
...mzazi ni mliberali ,watu wanadai anapenda sana muziki na "beats" sasa amempeleka mwanaye madrassah akajue kupiga MADUFU tu ili awe anawaburudisha katika shughuli za maulid ya familia...Mshenz sana uyo mzazi
Fimbo za kawaida kabisa zile
Si bora kuchapwa hizo fimbo kuliko kuchapwa bakora za maisha haya yaliyo magumu na ya fitina sana....Nilijua wameacha kuchapa miaka hii hao waalimu kuna mwalimu wa madrasa wa msikiti wa ijumaa Moshi alikuwa anaitwa ustadhi mabawa aisee alikuwa anatuchapa Sana
Yani hafai kabisa...mzazi ni mliberali ,watu wanadai anapenda sana muziki na "beats" sasa amempeleka mwanaye madrassah akajue kupiga MADUFU tu ili awe anawaburudisha katika shughuli za maulid ya familia...
Wewe Huwa humchapi mtoto wako ??dini ya kikatili sana hii aisee, na ina watu kama wewe? kwa taarifa yako, huyo mtoto ukimzaa ni wako kwenye makaratasi tu, ila kiuhalisia sio wako, ni wa serikali au kwa lugha nyingine ni wajamii nzima. ukimdhuru ukavuka mipaka ya sheria za kiserikali, jamhuri inakuchukulia hatua. hata mashuleni, kuchapa watoto viboko kumeruhusiwa ila sio kila mwalimu anachapa na kuna masharti ya kuchapa na hata number za viboko vingapi sheria imeweka.
ukizaa mtoto wako ukamtesa, jamhuri inakuchukulia hatua, usipomtunza jamhuri inakuchukulia hatua, ukimfanyia ukatili wowote ati kwa sababu ni wa kwako jamhuri itakuchukulia hatua. na hata hapo ni hamhuri imemchukulia hatua huyo ustaadhi katili anayeumiza watoto, labda kama katika uislam inaruhusiwa kutesa watoto hivyo ndio mje hapa mseme, ila waislam viongozi wako walishatoa waraka kulaani kile kitendo na wamejivua gwanda wakamwachia huyo mwalimu katili msala.
kumbe vitoto vinavyopitia madrasa vinafuata uislam kwa lazima, vinaumizwa na vimekuwa sugu hadi visura utakuta vimekasirika tu muda wote tunajiuliza ni kwa nini, kumbe vinapitia ukatili kama huo? na wakiwa watu wazima wanakuwa makatili sana hata ukimwambia uwa mtu wanaweza kuua kwa sababu ya makuzi kama hayao. unakutana na kitoto kimekunja sura kama kimtu kizima kumbe kimetoka kuchapwa fimbo.
simchapi kama vile yule mwalimu alivyomchapa. watoto wangu pia wana furaha, hawana woga. mnachapa vitoto hadi vinakua na visura vimekunjamana hasira muda wote utafikiri kametoka afghanistan kupigana, kumbe maskini kametoka kukaririshwa mistari kwa lazima na kamechapwa kikatili. na maisha yao hao ukiwaangalia wana maisha ya kimaskini pengine hata kula hakajala,kamerudi shule hakuna msosi, kubangaiza kakachelewa, kanafika kule kanachapwa, na kesho kanajiandaa kwenda shuel elimu dunia tena. mnatesa watoto.Wewe Huwa humchapi mtoto wako ??
Kwahiyo wewe ni muoman au mtanzania/mmatumbi mwenye asili ya oman au mtanzania aishie omanCome and see for your self,we don't have to waffle all day we work
If you like and love israel why don't you go to them and find out how they treat african
Huyo Mwalimu kawachapaje hao watoto na fimbo ngapi?.simchapi kama vile yule mwalimu alivyomchapa. watoto wangu pia wana furaha, hawana woga. mnachapa vitoto hadi vinakua na visura vimekunjamana hasira muda wote utafikiri kametoka afghanistan kupigana, kumbe maskini kametoka kukaririshwa mistari kwa lazima na kamechapwa kikatili. na maisha yao hao ukiwaangalia wana maisha ya kimaskini pengine hata kula hakajala,kamerudi shule hakuna msosi, kubangaiza kakachelewa, kanafika kule kanachapwa, na kesho kanajiandaa kwenda shuel elimu dunia tena. mnatesa watoto.
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Umeshindwa kumshikisha Mtoto wako Juzuu , umempeleka Madrasa, Elimu haimuingii mwanadam Kwa njia ya kufundishwa tu, Kuna vitu vingi vinavyochochea Elimu kumkaa MTU kichwani, Elimu inataka Nidhamu Kwa aina yake , Kwa mzazi wa namna hii, jambo la msingi Ilikua ni kuchukua mtoto wake na Kumtoa Kwa Mwalimu Mussa na kumpeleka pengine wasipochapa, au amtafutie Mwalimu wa kumfundishia nyumbani.
Mbona mashuleni fimbo zinatembea kama kawaida ?.
Haya mambo Hayati Magufuli aliyakemea kwelikweli , na aliamuru watoto wachapwe fimbo , ikiwezekana wafukuzwe.
Ni Imani yangu, Hakimu wa Kesi hiyo, atatumia Busara .
Kumchapa Mtoto Kwa lengo la Kumuonya na Kumfanya Abadilike ni sahihi na lazima wachapwe.
Mnaacha mitoto yenu inaangalia michezo ya TV isofaa, mitoto inabadilika Akili kuanzia ikiwa na miaka miwili, Mitoto inalelewa na ubebi ubebi mwingiii linazidi kukua likiamin nili falme au limalikia, Kiburi, jeuri , isowajibika, ndezindezi, mivivu na mizembe kama baba yao, midokozi, Lia Lia , Mitoto Hasara, alafu mnaipeleka shule Kwa Walimu, ambao wamekabidhiwa majukumu kuanzia Kufundishwa Hadi kurekebisha Nidhamu.
Wito wangu Kwa Walimu... KESI KAMA HIZI, ZIWAFANYE MPUUZE MITOTO YAO , MSIHANGAIKE NA MITABIA YA MITOTO YA WATU , INGIENI DARASAN, FUNDISHENI ,SAHIHISHA , USIJISUMBUE NA LITOTO LA MTU.
View: https://youtu.be/8H_q63_Ivas?si=2QcXDM5CliFmNJu5
Uafrika ni rangi tu mkuu, mifumo ya mwili inafanya kazi sawa tu kwa binadamu wote.Sisi ni waafrika mkuu....
Ni mizani gani bora inayotulazimisha tuishi kama waliberali ?!!