Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Duh, okay mkuu uko sahihi.
 
Wewe dini tu ndio imekuathiri mpaka ufikirie hivyo.
Kulipa kodi ni jambo la kiimani?
Kwenda kanisani ni jambo la kiimani, ni useless kwenda kanisani pasipo kuamini Mungu. Even a toddler can understand this.

Kama unafikiri watu wakienda kanisani wote wanaimani na kanisani au na Mungu bado unadhihirisha Wewe ni Akili mbili.

Kanisa ya misikiti ni masuala ya kijamii, huko watu wanaenda kujumuika kwa ajili ya kupata maadili, ushirika na kupata umoja ndani ya jumuiya.

Ishu ya Imani ni ishu nyingine(ambayo pia ipo).
Ndio maana unakuta mtu anaenda kanisani lakini mtu huyohuyo anaenda Kwa waganga,
Au mtu anaenda msikitini lakini mtu huyohuyo anaenda Kwa Mwamposa.

Sio kila mtu anayeenda Nyumba za Ibada anaenda kuabudu. Elewa hivyo
 
Shule sio suala la imani, pia inategemea na umri wake, anaweza na anataka kufanya nini.
Kuna watu wengi sana hawajaenda shule na wana maisha mazuri sana kuliko hata wengi walio na PhD.
Mtoto ako akikwambia baba me sitak kwenda shule kwa sabb yote ni ukoloni na yametengezwa/yameletwa na binadamu utachukua uamuzi gani?
 
Vipi kama hataki kuoelewa?
Vipi kama mume wake atampata gereji au Bar??
Anakusukumia kanisani ukaokotane na wanaume uolewe.

Ameshakuona na hio miaka hujitambui hujielewi.
 
Mbona hujaanza kuuliza kama kwanza anategemea kufunga ndoa?
Wewe mwenyewe unaweza kukuta ulizaliwa nje ya ndoa na wazazi wako hawajawahi kufunga ndoa.
Unategemea kufunga ndoa ya aina gani? usije ukaanza kumsumbua mama akakuombee kwa viongozi wa kanisa
 
Sio wote wanaoshangaa, ni nyie wengi mlio wafia dini ambao mko kwenye chungu mnaofikiri hakuna maisha mengine nje ya dini zenu
 
Pia aliwahi kusema mlee mwwnano katika njia impasayo nae hataiacha hata akiwa mzee... Pia imeandikwa
Jicho la mtu amdhihakiye babaye, Na kudharau kumtii mamaye; Kunguru wa bondeni wataling'oa, Na vifaranga vya tai watalila.
 
Sawa endelea kuiamini zaburi ambayo hata hujui nani kaiandika.
Issue hapo sio dini wala kulazimishwa. Unachotetea ndio kinachotumika hapo.
1. Wewe unataka uhuru pasipo kuingiliwa privacy yako. Si ndio? Uwe na maamuzi yako na utawala wa kujiamulia wako.
2. Je umeangalia kuhusu utawala wa mama yako na kutoingiliwa kwa mama yako katika himaya yake?
3. Unawezaje kupeleka amri ya uishi namna gani katila himaya ya mwingine?
4. Hivi tukikuamlia usivae chupi ili tujifurahishe sisi kuona tako. Utakubali?

Unataka kuishi kwenye himaya ya mwingine fuata masharti, tena anakubembeleza tu ilibidi ulipie kodi kuanzia kulala na vyote wewe si mtoto kisheria.

Kuhusu dini kama Yoda anavyokutetea. Nadhani wewe hauko hata blue level wala moron, huenda kwa mjibu wa akina Alyce Bailey ambao wanachukua imani zao kwa Adam Weishaupt kwenye Morals and Dogma wewe bado uko aquatic stage, bado hata reptile hujafika. Kama unataka kujua wewe ni kiumbe, kilichoumbwa angalia nywele zako za siri.

Kwa swala la Uhuru na Haki katika sayari hii haupo, ndio maana tunajua kuna survival of the fittest hapa kuna Law of the jungle, au neno mabadiliko ya tabia nchi husikii yakiongewa?

Usitake kuishi maisha ya ulaya na Marekani kwa uhuru wakati uko hapo Muzilakende kwa mama na uko 24 yrs, ONDOKA utakuwa huru kuwa na nguo zako za [emoji304]
 
Misimamo hyo afanye akiwa kwake sio chini ya himaya ya wazazi wake mbona ni rahisi tu
 
Sio wote wanaoshangaa, ni nyie wengi mlio wafia dini ambao mko kwenye chungu mnaofikiri hakuna maisha mengine nje ya dini zenu

Akili mbili ni shida.
Mimi nimelelewa kwenye dini zote mbili, uislam na Ukristo. Nazifahamu dini hizo.

Ninaishi maisha nje ya Dini nikiwa Kwa watu wasioamini katika Dini/nikiwa kwenye mamlaka Yao.
Ninaishi maisha ya kidini Kwa waaminio mambo ya Dini/nikiwa kwenye mamlaka Yao.

Ila pia ninaishi maisha yangu ninayoyataka nikiwa katika himaya yangu.

Ninyi msiotumia akili ndio mnaishi kwenye mamlaka za watu na kutaka kuishi mtakavyo ndio mnaonyesha jinsi mlivyowajinga
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…