Sawa endelea kuiamini zaburi ambayo hata hujui nani kaiandika.
Issue hapo sio dini wala kulazimishwa. Unachotetea ndio kinachotumika hapo.
1. Wewe unataka uhuru pasipo kuingiliwa privacy yako. Si ndio? Uwe na maamuzi yako na utawala wa kujiamulia wako.
2. Je umeangalia kuhusu utawala wa mama yako na kutoingiliwa kwa mama yako katika himaya yake?
3. Unawezaje kupeleka amri ya uishi namna gani katila himaya ya mwingine?
4. Hivi tukikuamlia usivae chupi ili tujifurahishe sisi kuona tako. Utakubali?
Unataka kuishi kwenye himaya ya mwingine fuata masharti, tena anakubembeleza tu ilibidi ulipie kodi kuanzia kulala na vyote wewe si mtoto kisheria.
Kuhusu dini kama Yoda anavyokutetea. Nadhani wewe hauko hata blue level wala moron, huenda kwa mjibu wa akina Alyce Bailey ambao wanachukua imani zao kwa Adam Weishaupt kwenye Morals and Dogma wewe bado uko aquatic stage, bado hata reptile hujafika. Kama unataka kujua wewe ni kiumbe, kilichoumbwa angalia nywele zako za siri.
Kwa swala la Uhuru na Haki katika sayari hii haupo, ndio maana tunajua kuna survival of the fittest hapa kuna Law of the jungle, au neno mabadiliko ya tabia nchi husikii yakiongewa?
Usitake kuishi maisha ya ulaya na Marekani kwa uhuru wakati uko hapo Muzilakende kwa mama na uko 24 yrs, ONDOKA utakuwa huru kuwa na nguo zako za [emoji304]