Mzazi kumlazimisha mtoto wake kwenda kanisani ni sawa?

Kwa kuwa Mungu hawezi kuja physically au kufanya kwa utashi wetu. Huyu afate sheria za kwao kwanza. Hata mitaani tuna wakristo na waislamu kwa majina na utambulisho lukuki tu
 
Kwa kuwa Mungu hawezi kuja physically au kufanya kwa utashi wetu. Huyu afate sheria za kwao kwanza. Hata mitaani tuna wakristo na waislamu kwa majina na utambulisho lukuki tu
Umekimbilia kuniquote kabla ya kusoma na kuelewa vizuri nilichokiandika.

Kama unaona ni sahihi kwa mtoto kupretend kwenda kufanya ibada, sasa kuna tofauti gani na kutokwenda? coz haamini

Kinacho zungimziwa hapa ni imani sio kutumwa kwenda dukani.
 
Atheists hatuna muongozo. Tunafanya kilicho sahihi, hatufanyi makosa (kama kuua, kuiba etc..) kwa kuogopa mungu au sijui sheria za dini. Bali ni kwasababu ya uelewa, tunaelewa jambo flani sio zuri kufanya au kumfanyia mtu..
.
Kila mtu anakosea, hata mzaz anakosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 24 bado unakosa uhuru wa maamuzi hama hapo kapange kwako ujitegemee.Mimi miaka 24 nilikuwa nimeshaoa.Ili uheshimiwe ishi chini ya paa lako mwenyewe.Hata ukiamua kuabudu u budha au dini nyingine zaidi ya dini za Ibrahim yaani ukristo na Uislam ni juu yako.
Majibu mazuri kwako ni haya
1.mama yako yuko sahihi kwa ushauri wake na wewe uko sahihi kwa msimamo wako
2.Jibu lingine mama yako hayuko sahihi kwa ushauri wake na wewe hauko sahihi kwa msimamo wako


Sasa hapo akili kichwani mwako jiongeze nimekupa jibu la kifalsafa zaidi
 
Yaani kupata hiyo shahada ya kwanza tayari umeshaona masuala ya Mungu ni utapeli?



Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kweli hiki ni kizazi cha nyoka!
 
Oky sorry!
Sasa ipo hivi " tatizo sio wewe unaekataa kwenda kanisani ila nguvu iliyoko ndani yako ndiyo haitaki uende kanisani"
So u need deliverance! baada ya hapo kupenda ibada inakuwaga Automatic bila kulazimishwa!

Binti wa kike kuna jamaa wamepanga ndani mwaka hivyo ukienda kanisani unaenda kuharibu ibada zao na kuwafurumusha.... Kumbuka biblia inasema "ninyi ni hekalu na la Mungu roho wa Mungu anakaa ndani yenu"
Hivyo kama hunashauku ya kwenda kanisani basi ujue wapo wapangaji nje ya roho wa Mungu wanakaa na wewe!
 
Nenda kanisani ukasali acha kuendekeza ujingà na wewe. Kwanza unatakiwa kujua kuwa Kwa jinsi Mungu wetu alivyotuumba ameweka hali kuabudu ndani yetu. Kwa vile na wewe umekuwa brainwashed kwa kudanganywa na mawakala wa shetani kukuamninsha kuwa Mungu hayupo na wewe umeamini inakubidi utoke kwenye kifungo hicho cha shetani kabisa na maombi makali

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sheria zingine zote natii. ila hii ya kiiamani huoni kama haiko sawa?
Kwasababu kulazimisha imani ni kwenda kinyume na injili.
Neno lenyewe tu "imani" linajieleza. Yani uamini sio kulazimishwa.
Ukapange ujitegemee, unamkosesha amani mzazi wako
 
Dogo mtii mama yako ule bata duniani, shauri yako
 
Dogo pumbavu sana huyu,elimu kidogo tu ushaanza kudharau mitazamo ya wazazi ,subiri uwe na kwako uwe na kizazi cha kipagani,uone maisha yasiyo na hofu ya Mungu yalivyo.
 
Atheists ni watu wenye upeo wa chini kabisa wa kufikiri, japo huwa wanadai kuwa na akili nyingi.

Umekiri kuwa hakuna muongozo kwa atheists, halafu hapo hapo unasema mnafanya kilicho sahihi, jambo ambalo linaibua swali langu la kwanza.

Kwako wewe definition ya jambo sahihi ni ipi?

Na kutokuwa na muongozo, maana yake unaloliona wewe sahihi, hailazimu kuonekana sahihi kwa atheist mwingine, coz hakuna marejeo ( hamuna muongozo).

Pia ukasema hamfanyi makosa na ukayataja.

Mwanaadamu anauwezo wa kufanya lolote analolitaka, sasa wewe kipi kilichokupelekea ukasema kuua au kuiba ni kosa ukizingatia huna muongozo, kwani kuua na kuiba yote si katika matendo ya mwanaadamu na wanayafanya?

Na vipi ikitokea atheist mwingine akasema kuua sio makosa, utampinga kwa minajili gani?

Nyinyi ndio mnaoleta uharibifu katika huu ulimwengu.

Mmemkanusha muumba wenu, hivyo mnafuata matamanio yenu na sheria mlizotungiwa na wanaadamu wenzenu( mnawaabudu).
 
Ulipozaliwa ulikuja ugenini!

Ulizaliwa katika Roho ndani na juu ya Mwili.

Akili yako pamoja na Njia kuu za Fahamu...zinapata ufanisi kupitia TRAINING...

Au kwenye Elimu na Maarifa kama ilivyo kwenye Science...

Na pia SPIRITUAL TRAINING KUPITIA MAKANISA,Misikiti na Masinagogi..

TRAINING na namna ya ufahamu inatofautiana kati ya mtu na Mtu
..

Kwa hivo Mama yako anaku expose kwenye LEARNING PROCESS...NA HIYO NDIYO KAZI YAKE..

WEWE UNATESWA NA KITU KINAITWA EGO..

You're full of Egoism!!

Shuka chini..

Kuwa Mnyenyekevu.

Kubali kujifunza!!

Your Mom is right!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…