100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Tumaini juu ya tabiri za kisayansi na teknolojia na tabiri hizo tabiri hizo zikatimia imejenga msingi wa imani juu ya sayansi na twknolojia kwamba inawezekana tabiri ambazo zinatabiriwa leo kesho zikatimzwa, kumbuka una kuwa na imani kidogo kwa sababu kuna msingi wa kuamini umejengwa...Hakuna kiashiria chochote. Sema put in perspective, mwaka 1600 ungemuambia mtu kuna simu unaweza kutumia mawimbi kuwasiliana na mtu wa mbali akasikia.. angebisha, ila saivi ni kitu cha kawaida.
So I acknowledge kwamba huu ni ulimwengu wenye infinite possibilities, everything we know might be a very very small slice of everything there is to be known.
Lakini hii haimpi mtu lesseni ya kuclaim kitu chochote na kuforce tuamini kipo, eti kwakuwa 1960 hakukuwa na simu ndio leo useme in the future kutakuwa na watu ambao hawali ila hawafi tukaamini tu bila kiashiria chochote. Hatuwezi kukataa kwa asilimia 100 kwakuwa historia imetufundisha hivyo, lakini tutasema possibility ipo lakini tutakubali with certainity siku tukiona evidence.
Sio lazima uone kiashiria ndio useme kuna possibility ya kitu.
So even with God, currently hakuna kiashiria chochote wala ushahidi wowote kuwa yupo, Lakini naweka akiba ya kutosema hayupo kwasababu ulimwengu huu hautabiriki with certainity...Hata from the fundamental blocks of the universe (atoms, molecules, electrons) it is not predictable, it is probabilistic.
hata infinite multiuniverses could be possible, but not certain.
God could be there but not certain at the moment.
I am not anti-God, if he comes I will beleive, But currently he hasn't.
Suala la imani ni tofauti na sayansi, ndio maana tunasema hizi ni imani za dini... Imani usichanganye na sayansi, ukiambiwa siku ya mwisho watenda maovu wataadhibiwa utaamini hivyo japo huna uthibitisho...
Dini ina njia yake na sayansi ina njia yake, sasa kutumia misingi ya kisayansi kutaka kukubali kuna uwezekano Mungu yupo ni makosa, sayansi haijawahi thibitisha uwepo wa Mungu...
Kwa hio dini na sayansi zina njia tofauti, unachofanya ni kutumia tumaini lililojengwa katika sayansi na kuja kutumia hilo tumaini kuja kusema kuna uwezekano Mungu yupo kitu ambacho hakipo...
Mifano unayotoa hairandani, tumaini juu ya uwepo wa Mungu litajengwa kwa dini, tumaini juu ya miaka 500 baadae tutaishi kwenye Mars linajengwa na sayansi...
Nachoweza kusema mifano yako ni mfu na hairandani hata kidogo