Mzazi kumpa mtoto chochote anachokitaka ni sawa na kumharibu?

sasa mtoto wa miaka minne watafanya nini...nyie ndo huwa mnaspoil watoto..mwishowe mnakuja kuwapa shida hao hao watoto mambo yakiwaendea kombo...au unataka kuniambia kijana wa 16-18 kwako bado ni mtoto
Bado ni mtoto hata km 20s ikiwa hajaanza kujitegemea binafsi.
 
sawa aunt....ni wewe tu..hata akifika 30 bado ni mtoto tu...mchelea mwana hulia na wakwao....
Sawaah tyuuuh, nyie ndo mnawaacha watoto wanahaha kuhangaika kutafuta life mtaan, kisa eti ameshavuka umri wa utoto, huo n ukatili na ubinafsi. Mtoto km hajaitegemei binafsi anabaki kuwa mtoto na anahitaji msaada kutoka kwako.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo mkuu unamaanisha hakuna fundi wa maisha magumu?bingwa au mtabe wa maisha magumu?
 
Kila mtu anapenda maisha mazuri, hakuna fundi wala bingwa wa maisha magumu
sawa sema falsafa ya huyo baba wa mtoa mada naikubali hata mimi huwa naitumia kwa familia yangu yaani kuanzia mke wangu,watoto na wadogo zangu.
Nitajitahidi basic needs zote nizikamilishe lakini vitu vingine ambavyo sio vya msingi huwa navipotezea hasa pale wakati ninapokuwa na majukumu mengi.
Hii huwa nawajenga wasiwe watu wa kubweteka wajue kwamba pesa inasakwa kwa tabu na inauma kugawa hovyo.
Mke na watoto ukiwabwetesha watakusumbua sana maana yake kila kitakachopita watataka uwanunulie matokeo yake inakuwa kero.
Wafundishe wawe na uwezo wa kuchanganua kutofautisha vitu gani ni vya msingi,vya kufanywa kwa haraka na vitu gani ni vya ziada/option.
 
Umenikumbusha....mimi nilisoma kuanzia Form one mpaka four...bila kununuliwa begi la kubeba mgongoni....Madaftari yangu nilikuwa nabebea kwenye Mabox kama haya ya Sabuni....nakata kipannde cha box nakunjia madaftari yangu....BINAFSI NILIUMIA SANA miaka yote ya masomo yangu....
 
Hapo mzazi anafikiri alikulea katika malezi Bora, LoL kumbe alikuumiza kisaikolojia na si kwamba imekufanya uzoee hiyo hali.
 
Sawaah tyuuuh, nyie ndo mnawaacha watoto wanahaha kuhangaika kutafuta life mtaan, kisa eti ameshavuka umri wa utoto, huo n ukatili na ubinafsi. Mtoto km hajaitegemei binafsi anabaki kuwa mtoto na anahitaji msaada kutoka kwako.
Inategemea msaada gani na kwa umri gani
 
jinga kabisa ww...
hiyo mia uliokuwa unapewa na mama hujui kama mama alikuwa anatoka kwa baba!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…