Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

Kwani unahitaji ushahidi gani kwamba huyo mwanamke alikuwa tapeli tu probably hata mtoto sio wako
Za kuambiwa changanya na zako na tunapowakataza kuoa muwe mnaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano huyo mwanamke anakusanya mahitaji kwa kisingizio cha "ni mtoto wako" kwa mwanaume zaidi ya mmoja.
 
  • Je wewe ni kabila gani?
  • Umefanyiwa mila?
 
Wala sio issue mbona, huna uwezo wa kuzaa tena?? Yaani kuna vitu vingine mwanamke anaweza kukwambia jambo hadi ukacheka kwa dharau. That is not an isuue so far, endelea na mishe zako, just tell her that, you are a man enough to get more children, na hata huyo bado atabaki ni wako, atakutafta dunia ikigeuka
 
Ushauri mzuri sana na ndio kitu muhimu sana
 
Piga kimya, achana naye. Kuna uwezekano dogo sio wako.
Hapana mkuu dogo ni wangu nishapiga sana kimya ila mwanamke ananifuata na sio kwa sijaishi nae hapana nimeishi nae sana tu sema mwanamke ni kiburi lakini kwa mtoto ni wa kwangu
 
Kuna uwezekano huyo mwanamke anakusanya mahitaji kwa kisingizio cha "ni mtoto wako" kwa mwanaume zaidi ya mmoja.
Hilo pia linawezekana na ndio maana nimemuachia vyote bila shida lakini haishi kunitishia jambo moja baada ya jingine mimi napiga kimya tu
 
Unamuhudumia mtoto? Kama ndio kamshtaki ustawi, tafuta polisi, huko alipo atapatikana atapewa utaratibu maalum wa malezi ya mtoto wenu.
Ushauri mzuri lakini ni mwanamke jeuri kwaio nimemuachia vyote adi atakapo jifunza atarudisha mtoto asipo jifunza basi itakuwa ni zawadi yake io aende salama
 
Naona umewapa back up watu wa kampeni ya kataa ndoa, ishi maisha yako kuwa tayari kwa lolote hasa lisilo kudhuru na kukuondolea utu wako
 
Ushauri mzuri lakini ni mwanamke jeuri kwaio nimemuachia vyote adi atakapo jifunza atarudisha mtoto asipo jifunza basi itakuwa ni zawadi yake io aende salama
Huwezi mwacha damu yako hovyo mtaani kwa kumkomoa mwanamke. Toto lako likiwa shoga au malaya kwa kukosa malezi sahihi hata kama humuoni ila duniani unakuwa ulikuja kutuongezea matatizo tu sababu ya uzao wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…