mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
No! Big NO.Yesu nadhani ni mtoto wa Jibril.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No! Big NO.Yesu nadhani ni mtoto wa Jibril.
BestTatizo lenu mnasoma mkiwa hamjui mnataka nini, mimi wakati nasoma, malengo yangu ilikuwa ni kupata hela, sikusoma ili elimu inipeleke popote zaidi ya kutaka inipe muongozo wa kupata hela. Na ndio maana afterwards, nilifanya kazi kila sehemu so long as nilikuwa naona hapa patanipa hela. Sisi tumefungia vyeti vingi ndani, tukiwa ulaya ili tupige maokoto kwa sababu ndo tulichokuwa tunataka. Kazi za taaluma zetu zilikuwepo ila wages zipo chini, wanyama tukaingia street, the rest is history na badae tukarudi darasani kusoma ili tusionekane wajinga kwenye jamii na tu inspire our generations badae. Well, nachotaka kusema ni kwamba, kids of nowdays wajue ni nini wanataka kukipata out of hizo elimu zao wanazosoma.
Kwa hiyo tuseme umeweza kulipa milion kadhaa za ada hadi chuo...halafu ukashindwa kupata mtaji wa vibanda vya chips hadi upate ajira ya 700+k!?Upeo wako mdogo. Iko hivi umetoa wazo vizur ila kulilia kuajiriwa sio kwamba title na kuridhika na salary ya 750. Kuajiriwa kwa masikini ni assuarance ya kipato na mtaji.
Maana kitendo chakupata ajira nakuwa na uhakika wakulipwa ni chanzo cha mtaji wakumilik hata hivyo vibanda vya chips 10... Nika wanangu wana maisha sana sababu wanajielewa na wamewekeza sana biashara mbalimbali wana majumba magari lakin yote yametokana na ajira zao