Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

Kutoamini uwepo wa Mungu ni kukata tamaa kwa kiwango cha mwisho Kiranga
Uwezekano wa mtu kukata tamaa wenyewe ni uthibitisho kwamba Mungu hayupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, hakuna kiumbe chake hata kimoja kingejua kukata tamaa ni nini.

Kwa hivyo, jitihada zako za kuwanyanyapaa watu wasioamini uwepo wa Mungu kuwa ni watu waliokata tamaa, kiukweli, ukizitazama kwa undani, zinazidi kuthibitisha Mungu hayupo.

Mungu angekuwapo, kukata tamaa hata kusingejulikana, kwa kiumbe chochote.

Tunaishi kwenye ulimwengu ambao kukata tamaa kunawezekana, kwa sababu Mungu hayupo.
 
Sio easy km unavyoongea wewe hivi nyinyi mnachukulia Mambo ni rahisi rahisi? Yohimbe bark njoo uwaelezee hawa wanaochukulia Mambo easy come easy go watu wanakula msoto na Pesa wamewekeza sio kwamba hilo unalolisema hawalifanyi lakini sio rahisi hivyo km unavyochukulia wewe
 
Mkuu umeongea jambo la msingi na kwa uchungu sana. Lakini kaa ukielewa kwamba hakuna mwanasiasa hata mmoja (including Rais, makamu wa Rais na Waziri mkuu) ambaye yupo madarakani kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi/wapigakura. Wanasiasa wote wanatetea maslahi ya matumbo yao na familia zao. Jipambanie mwenyewe kwa mbinu zako binafsi mkuu. Usimtegemee mwanasiasa kamwe.
 
Hehehehe daa umetisha aisee , Africa Kuna shida sana katika life cycle yetu hapo hata kama tutakataa lakini ndo ukweli
Mkuu, nguvu anayotumia mwafrika kufanikiwa ni kubwa mno kulinganisha na thamani ya pesa anayo ipata.

Nguvu hizi zikitumika kwenye First world countries mafanikio na utajiri ni easy sana.
 
Mkuu, nguvu anayotumia mwafrika kufanikiwa ni kubwa mno kulinganisha na thamani ya pesa anayo ipata.

Nguvu hizi zikitumika kwenye First world countries mafanikio na utajiri ni easy sana.
Huku ni kukandamizana tu kwa sababu watu wengi hawazijui haki zao
 
TUnakata tamaa kwasababu Mungu hayupo au kwasabu ya kukosa imani ya uwepo wa Mungu? Nadhani hii ya pili ni sahihi . Uthibitisho kuwa Mungu yupo ni kwamba chanzo cha binadamu wa kwanza kuwepo na hii dunia kuwepo ni kitu ambacho kimeumbwa na Mungu. Na kama una mawazo tofauti hii dunia imetoka wapi? Na binadamu wa kwanza alitoka wapi?
 
Naomba connection mkuu. Mtaani hali sio shwari
 
Wewe ndio umeandika cha maana. Hamna hoja ya kujadili.

Suala la ukosefu wa ajira ni mtambuka, tutazunguka weee lakini hata tufanyeje, kutokana na mfumo wa dunia (neo-liberalism) asilimia kubwa ya watu (hasa vijana) ni lazima wakose shughuli za kuwaingizia vipato.

Ilitabiriwa janga hili litawafika zaidi masikini. Na ndio hali ilivyo sasa.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye aliweza kuumba ulimwengu ambao kukata tamaa hakuwezekani, halafu akaumba ulimwengu ambao kukata tamaa kunawezekana, hiyo ni contradiction.

Unaelewa hilo?

Unaelewa kwamba unapoandika "chanzo cha binadamu wa kwanza kuwepo na hii dunia kuwepo ni kitu kikichoumbwa na Mungu" hii ni kauli ya kiimani ambayo hujaithibitisha?

Unazunguka pale pale tu.

Ni kama vile, wewe unadai baba yako mzazi ni James Bond 007.

Mimi nakwambia James Bond 007 si baba yako, ni muhusika wa hadithi ya kutungwa, hayupo. Kama unabisha, thibitisha kuwa James Bond 007 yupo kweli na ni baba yako mzazi.

Unanijibu James Bond 007 yupo kweli, kwa sababu chanzo chako ni huyo baba yako mzazi James Bond 007.

Nilitegemea labda ungenipa ushahidi, uthibitisho.

Hujatoa ushahidi wala uthibitisho kuwa Mungu yupo na ndiye chanzo cha ulimwengu, umekuja na kauli ya kiimani tu.
 
Mada hiz zinavuruga sana mwishoni mana hazijengi. Tatizo lililopo kwenye ajira hata kama Leo watu wote watapelekwa veta. Few years later ngoma itakaza.

Na tatizo hili Lina Kona nyingi sana kuziangalia. Mana hata Leo hii ukikutana na injinia kama comics pale Golden tulip au Amaria maana ni ileile.

Watu kufanya kazi ambazo hawajasomea... Hii inapelekea Kule wanakuwa casual na wanalipwa kidogo kuliko kiwango.
 
Sio mfumo wa dunia, sema ni mifumo mibovu ya Afrika na nchi nyinginezo za third world.

First world countries ukisoma na ku pass vizuri huwezi kukosa kazi uishie eti kufanya manual Works

Ni Africa, middle east countries na latin countries tu, Nchi za third world countries ndio kuna wasomi wanao kosa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…