Ikiwa dini unayojinasibisha nayo haiongozi mfumo wako wa maisha basi jitafakari vizuri! either hiyo dini yako ni impractical au wewe si muumini wa kweli wa hiyo dini.Dini za Kigeni zisitufanye tubaguane.
Iwe kite cha warumu kusuye waislam mnu mbichoNgoja waje wakushauri. ila mzee yuko sawa
Uandishi wako unatosha kuezelea nyanda za juu kaskazini ukoje.Ukweli usemwe ,Baba mdogo yuko sahihi na wewe simama na Baba mdogo na kukataa hiyo mahari na kumuonya Dada yako mpe hizi hoja
Na kesho na leshokutwaa mtamuweka mdogo wenu kwenye migogoro isiyoishaa
nakupa tuu hii taarifa Waisilamu ni wa baguzii na huyo dada yenu atatengwe na lazima asilimuu.
Na mwishowe ataachwaa ,simama na baba mdogo ,bora hata awaleteee dhehebu lingine lakini sio hawa akina mkojanii.
Lapili mke wa pili
Latatu mtaanza kuona dada yenu ana majini
Atawasumbua sanaaaaaaaaaa
Hadi mkomeee
Hakuna cha kukolea! Wamemkuta hana nguvu wakamtupia majini ndo yamekamata akili zakendugu yenu ameshakolea mkuu, hamna cha kumfanya muozesheni tu
Wanaolewa familia nzimaNaona wanaolewa familia nzima....
Yuko sawa sana...Ngoja waje wakushauri. ila mzee yuko sawa
Hawa wanaolewa na Abdul,familia nzima.Atakaeishi na abduli ni mdogo ako, ni baba, au ni nyie wote kama familia??
Dini za kurithi hizi isikusumbue Mababu zako wangekua watu wa pwani ungerithi uwislam,au Babu zako wangetawaliwa na mchina ungekua Buggha na hiyo Dini ya Mzungu ungeiyona Ushenzi tu.Ukweli usemwe ,Baba mdogo yuko sahihi na wewe simama na Baba mdogo na kukataa hiyo mahari na kumuonya Dada yako mpe hizi hoja
Na kesho na leshokutwaa mtamuweka mdogo wenu kwenye migogoro isiyoishaa
nakupa tuu hii taarifa Waisilamu ni wa baguzii na huyo dada yenu atatengwe na lazima asilimuu.
Na mwishowe ataachwaa ,simama na baba mdogo ,bora hata awaleteee dhehebu lingine lakini sio hawa akina mkojanii.
Lapili mke wa pili
Latatu mtaanza kuona dada yenu ana majini
Atawasumbua sanaaaaaaaaaa
Hadi mkome
😂😂😂Hawa wanaolewa na Abdul,familia nzima.
Huu utumwa Mimi niliukataa nikamwambia mdogo wangu njoo nikuozeshe Mimi kama baba Yako amegoma mamana hizi Imani zinatutenganisha lakini tata baba Yako angezaliwa Tanga au kwingineko ambako dini ya kislamu ilianza kuenea angeweza kuwa muislamu so sababu za kijiografia zisilete shida nitakuoza na kikaendelea na mchakato na wao wakajiunga tukamuozesha Binti Zenji yupo mpaka sasa hukoBaba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.
Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.
Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.
Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Dah ......ila tumefikia huko 😿😿Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.
Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.
Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.
Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Subirini awaletee mimba kwanza ndo mtajia hamjui.Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha kiasi kwamba hadi aolewe na Waisilamu? kweli mdogo wetu ni mzuri sana, amesoma hadi chuo kikuu Sasa tunashamgaa posa inaletwa na watu wa imani nyingine wakati sisi tumemlea kwa taratibu zote za dini yetu ya kikristo kupitia KKKT.
Tumemshauri mdogo wetu atulie kwanza kwanza bado mdogo na pia mwanaume hawezi mkosa amtakae yeye lakini amegoma kutusikilizaa kabisa amesma ataolewa na ABDULI TU ova.
Wakuu nimshauri vipi mzee kwa ananitegemea mimi kumpa ushauri ametokea kuniamini.
Kuna msatari wa bibilia tumemsomea wa " usifunge nira na watu wasio amini " amegoma kutusikilizaa kbsa Ni ABDULI TU ANAMTAKA.
Aah aah aah aah🤣.....wangemruhusu tu mtoto amepelekewa moto na ameuelewa!Subirini awaletee mimba kwanza ndo mtajia hamjui.
Bora michepoko kuliko jama hawaa ustadhiHata wakristu wana michepuko. Atakuwa mke wa kwanza mwenye msululu wa wake wenza
Jamaa Ni atisa wa trashida ni kwamba abdul mwenyew mgonga nyundo kama sisi ila angekua officer flan at usingetuomba ushauri
By the way utu wa mtu aupo kweny dini wala kabila
Officer wa Trashida ni kwamba abdul mwenyew mgonga nyundo kama sisi ila angekua officer flan at usingetuomba ushauri
By the way utu wa mtu aupo kweny dini wala kabila
Una uhakika kama ni mgonga nyundo?.....hata kama mgonga nyundo shida ipo wapi? Mpigwa mpini amekubali tena ameenda shule vizuri anajua anachohitaji.....shida ni kwamba abdul mwenyew mgonga nyundo kama sisi ila angekua officer flan at usingetuomba ushauri
By the way utu wa mtu aupo kweny dini wala kabila
Wew si kaka unaonaje io swal lina afya kwa upande wakoOfficer wa Tra