Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Wew unafeli sana,

Wanawake wana upuuzi mwingi, usikute mama ako ana bifu la kiuwanawake na huyo mke wako,

TEngeneza familia yako, sio ya mama ako
Mama yangu ni mtu mwenye hekima na busara kubwa, hawezi kuwa na bif na mtoto mdogo
 
hakuna aliye mkamilifu chini ya Jua hata umletee nani? Hata wanawake wengi walioko kwenye ndoa hawapendwi Ukweni. Huyo mtoto unataka alelewe kwa malezi gani?
 
Anaye oa ni wewe au mzazi wako?
aina ya ndoa utakayo ingia ni zile akifariki mzazi ndoa inaishia hapo maana wenye ndoa anakuwa ametangulia.
 
Kwa huu umri kama haupo FINANCIAL and MATURITY STABLE mama Yako lazima awe na sonona ya wewe kuoa maana anajua kichwa na mfuko wa mwanae akili yake ,usimsingizie mdada wa watu ni vile mama Yako anakuonea huruma ndoa utaiweza?
 
Huyo binti kwanini ukampa mimba wakati unafahamu kuwa haupo tiyari kumuoa? Na unavyotaka kumuacha unatarajia Nani atamuoa?
Unataka nijiulize hayo maswali ili siku zirudi nyuma au?
 
Kwa huu umri kama haupo FINANCIAL and MATURITY STABLE mama Yako lazima awe na sonona ya wewe kuoa maana anajua kichwa na mfuko wa mwanae akili yake ,usimsingizie mdada wa watu ni vile mama Yako anakuonea huruma ndoa utaiweza?
Mama yangu anajua kwa sasa sio muda wa mimi kuwa na ndoa, hata wazazi wa binti wanalijua hilo
 
Anaye oa ni wewe au mzazi wako?
aina ya ndoa utakayo ingia ni zile akifariki mzazi ndoa inaishia hapo maana wenye ndoa anakuwa ametangulia.
Vyovyote vile, lakini ushauri wa wazazi wangu ni muhimu
 
Unataka nijiulize hayo maswali ili siku zirudi nyuma au?
Wewe ni mpuuzi maana tiyari umeharibu maisha ya binti wa watu, Je angekuwa ni mwanao huyo wewe ungejisikiaje? Anyway ukikua unafahamu, ndio maana tunasema Vijana achaneni na uzinzi maana madhara yake ni makubwa kama hivi
 
hakuna aliye mkamilifu chini ya Jua hata umletee nani? Hata wanawake wengi walioko kwenye ndoa hawapendwi Ukweni. Huyo mtoto unataka alelewe kwa malezi gani?
Bado sijafanya maamuzi mkuu, still Bado natamani niishi pamoja na mwanangu
 
Yani wewe ni tatizo kubwa wewe huwezi kujenga mji wako kamwe na hakuna mwanamke wa kuvumilia ujinga wako uo inaonekana kila jambo lako lazima lipitishwe na Mama yako nakupa pole sana
 
Wewe ni mpuuzi maana tiyari umeharibu maisha ya binti wa watu, Je angekuwa ni mwanao huyo wewe ungejisikiaje? Anyway ukikua unafahamu, ndio maana tunasema Vijana achaneni na uzinzi maana madhara yake ni makubwa kama hivi
Madhara gani? Mimi nafurahi kuwa na mtoto na sioni kama napaswa kujuta au kulaumu, hakuna kitu mtoto amekosa, kama ni malezi yapo tena mazuri tu
 
"Listen to your gut" Ethics nilijifunza chuo!!

Huyo atakua mkeo siyo make wa mama yako!!

Mama Yako anaweza kukuletea pis kali lakini ukateseka maisha yako yote!

Zingatia hisia zako na sio hisia za mama yako!

Muulize mama hasa Kuna nini ukishajua utajua nini Cha ku deal na huyo dem!
 
Madhara gani? Mimi nafurahi kuwa na mtoto na sioni kama napaswa kujuta au kulaumu, hakuna kitu mtoto amekosa, kama ni malezi yapo tena mazuri tu
Unahitaji msaada wa kisaikolojia tunza comment yangu ipo siku utajutia kwa kuharibu familia yako ili kufurahisha familia ya Mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…