Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kweli kabisa ni mtihani sana kwakweli, dada wa Kazi hana time ya kuwapa malezi elekezi,na hata akiwapa utakuta mitoto inakuja kuko Mplain dada anatutuma tufanye hivi au vileMitoto hiihii inayolelewa na house girl ya kila kitu dadaa njaa, dadaa mmaa, dadaa duduu, dadaa washa tivuu, dadaa peleke chooni, dadaa vichee kiatu, hebu tuache masikhara kwa kweli.
Kweli kabisa kuna shida mingi Sana kizazi hiki ni game na tv ndio mpango mzimaTuna watoto vishoia sana Tena sana wakiona hata mende utadhan wameona nyoka
Kuua mdudu anayetambaa ni shida kuoga yenyewe mpaka wasimamiwe kufua ndo huwaon wao wanajua kula tv games na michezo kazi zingine dada au mama
Kama na wake au mama wa baadaye hichi kizaz hawatoboi kama ni baba wa kesho ndo hakuna kitu nyie mababuna mabibi ndo mtalea familia zao
Na huo ndio ukweli, unapotafuta dada wa kazi mpatie jukumu la kushughulika na usafi tu na msosi, wanao komaa nao mwenyewe.Kweli kabisa ni mtihani sana kwakweli, dada wa Kazi hana time ya kuwapa malezi elekezi,na hata akiwapa utakuta mitoto inakuja kuko Mplain dada anatutuma tufanye hivi au vile
Vishoia😂😂😂 ukaona ni kiswahili 😅Tuna watoto vishoia sana Tena sana wakiona hata mende utadhan wameona nyoka