Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Choka sana kiumri hata maneno ya kuongea hawezi kuchagua. Sawa na Joe Biden tu kapoteza memory Makamba YusufKufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM