Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

Tetesi: Mzee Alhaj Luteni (Mstaafu) Yusuf Makamba M/kiti CCM Bara

Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM
Most useless man ever, huyu Mze ni mnafiki sana na ndiyo huyu aliyesababisha CCM kutaka kumfia Mze Kikwete na akatimuliwa tena kwa kukimbizwa na fimbo asionekane popote pale hapa Tanzania, yule Mze nuksi sana.
 
Nawaambieni ukweri ndugu zangu, tuiombee sana nchi yetu. Tuombe amani iendelee kutawala. Haijawahi kutokea rais kutoa zawadi ya pikipiki zenye jina lake kabla hata ya wakati wa kampeni.

Haijawahi kutokea rais kuwasafirisha wananchi nje ya nchi kwa lengo la 'kula bata'.. Haijawahi kutokea rais kukabidhi rasilimali za taifa kwa wageni kwa kisingizio cha uwekezaji. Yapo mengi ambayo hayawahi kutokea lakini leo yanatokea. Na yanazua maswali mengi.

Tuliombee sana Taifa letu hasa nchi ya Tanganyika! Mwenyezi Mungu aliponye hili taifa
 
Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM
Huyo mvuta Bange labda kama mnataka kukizika chama
 
Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM
Akifanya kosa hilo tena Samia nitajua ni sikio la kufa.

Huyo mzee wa visasi na mipasho akirejeshwa, Samia atakuwa kajichimbia kaburi la kisiasa.
 
Back
Top Bottom